Mimba ya mchepuko inanitesa

Mimba ya mchepuko inanitesa

Dah....una uhakika ni mimba yako?? Usije ukawa kati mamen wake wote wewe ndiyo kakuona fa la.....nataka nikufungue macho tu [emoji41]
 
Pana uzi humu ulikuwa ukizungumzia jinsi madomo zege wanavyo okolewa na hawa wafagiaji wa maofisini.
 
Na huyu shetani ana kazi kweli,MTU anatoka alikotoka anatongoza na anagegeda lakini mwisho anasema alipitiwa na shetani. Mmmmmh. Ningekuwa shetani mid ningeanza kuwafumua marinda ili muache kunisingizia.
 
Back
Top Bottom