Mimba ya mchepuko inanitesa

sizzya007 naona senior member umekuja tena kutafuta kick Lol!! Nitapost nipendavyo kwan we dare to talk openly!! Atakaye comment gud! Asiye comment gud! Coz comment haipunguz mshaara wangu

Wanaonijua wananijua mzama chumvini, mie ni member wa muda mrefu sana humu jf, way back toka 2010. Usenior member usikufanye ushangae! Ww ni mgeni humu kuliko, ninaingia na kutoka mara kwa mara mdogo wangu!

Ila argument hapa ni jaribu kupost vitu vyenye mantiki, tabia ya kupost upuuzi haikuongezei ww binafsi jambo lolote zuri, kuna vitu vingi vya msingi vya kuongelea!! (thou haukatazwi kuongea ujinga if you wish, but the question is kwann uongee ujinga muda wote na kupost habari za kutungatunga ambazo ni contrary na moral standards za kitanzania?)

Kama ni mtu wa kujiongeza utakuwa umeipata key concept ninayojaribu kukupa, ila kama bado mtoto mdogo hautanielewa.

And one last thing! Kama unataka uplatinum member ebu lipia tu JF, 30k tu. Utaupata huo uplatinum member unaoutafuta kuliko kujishushia heshima bureee🙄
 
sizzya007 sipo kutaka u platnum member! Nipo Jf just for fun! Thats all! Najielewa na nina kaz yangu! Na nina familia! Na nina AC nyingine Hapa jf! So pale unapoona post yangu kam huipend achap! Sio kuniita popoma jamaa!! Siborek na ushaur wako ila kuheshimu Post Za Mtu Ni Kizur Pia. Thnx
 
sizzya007 naona senior member umekuja tena kutafuta kick Lol!! Nitapost nipendavyo kwan we dare to talk openly!! Atakaye comment gud! Asiye comment gud! Coz comment haipunguz mshaara wangu

Unafanya kazi wapi ndugu😀
Nina imani ofisi yako wananufaika sana na michango yako ya mawazo, nina uhakika kila ushauri unaoutoa kazini kwako ni epicly fantastic🙄🙄
 
Vipi umeshauza ile ofisi yako kuuza majeneza pale Morogoro Hosptali?
au ndiyo maana unataka kuhamia maweni tokamzumbe.maana hizo nyuzi ni zako ulizotoa
 

Point taken😀😀😀
We are for peace bro, endelea kutupa radha mkuu. Ila be sure katika kila post yako ntakuwa nakupa like🙄🙄
 
Huyo shetani aliyekupitia ...atakupitia tena na utanunua simu ya whatsapp,..kulea mimba kunahitaji uvumilivu usihofu mkuu
 
Hahahahh, pole mkuu.
Ila mwanamke mjamzito ni mtamu sana aisee
 
Vipi umeshauza ile ofisi yako kuuza majeneza pale Morogoro Hosptali?
au ndiyo maana unataka kuhamia maweni tokamzumbe.maana hizo nyuzi ni zako ulizotoa

Na kuna nyingine anataka kuamia kigoma, akatoa na uzi mwingine wa kutafuta housegirl😀😀😀
 
sizzya007 Thnx kwa kunielewa! Pia kumbuka jf co criaz plac kam unavyoichukulia!! Watu wanapost story wanatunga kila cku! Mchek K 4 LIFE! Utaelewa nin maanisha! Kuna watu wazima humu wana ID Kumi kumi wanapost pumba mim con ndan!! Finally Aman Itawale.
 
Jmn ckuiz mbona vilaza vnazd kuongezeka,kulkon??by Joyce Mwavile
 

One thing has nothing to do with the other!!! Kwa kuwa watu wazima wanapost upuuzi isikufaye na ww uwe hivyo, kama umekuwa hivyo kwa selfchoice its well n gud, ila kani kwa influence ya wengine think twice.
 
Mimba zingine kiboko unakuta umeshinda na mke wako mwenye mimba Siku nzima tu bila shida...
Lakin saa tisa ya usiku anakuamsha bby nipeleke petrol station nkanuse petrol......
 
ulikua na shetani wakati unatenda (kutokana na maelezo yako) umemuacha wapi hata ukaja kufuata ushauri huku.
umekosea maana wewe ndo uliweka mbegu na ikaota...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…