Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,067 Reaction score 10,393 Aug 8, 2016 #61 Dah....una uhakika ni mimba yako?? Usije ukawa kati mamen wake wote wewe ndiyo kakuona fa la.....nataka nikufungue macho tu [emoji41]
Dah....una uhakika ni mimba yako?? Usije ukawa kati mamen wake wote wewe ndiyo kakuona fa la.....nataka nikufungue macho tu [emoji41]
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Aug 9, 2016 #62 Pana uzi humu ulikuwa ukizungumzia jinsi madomo zege wanavyo okolewa na hawa wafagiaji wa maofisini.
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Aug 9, 2016 #63 Shetani anasingiziwa mambo mengi.
C CHOKAMBOVU JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 836 Reaction score 563 Aug 21, 2016 #64 Na huyu shetani ana kazi kweli,MTU anatoka alikotoka anatongoza na anagegeda lakini mwisho anasema alipitiwa na shetani. Mmmmmh. Ningekuwa shetani mid ningeanza kuwafumua marinda ili muache kunisingizia.
Na huyu shetani ana kazi kweli,MTU anatoka alikotoka anatongoza na anagegeda lakini mwisho anasema alipitiwa na shetani. Mmmmmh. Ningekuwa shetani mid ningeanza kuwafumua marinda ili muache kunisingizia.