Mimba ya nne kujifungua kwa njia ya kisu, nini madhara au athari kwa mama?

Nimekuuliza hizo Post delivery zinatolewa RCH ipi hapa bongo?
Medical professionals huwa hawajibu hivyo mkuu jitahidi uwe professional hata kdg unajiaibisha mkuu
 
Hivi ni lazima kuzaa watoto wengi? Ujinga tu
 
Kwa sababu imeshatokea, huna namna . Asitoe mimba ila awe karibu na madaktari.
 
Eti hakuna madhara
Dr hawezi kutoa ushauri wa kipuuzi kama huu
Wengi huambiwa baada AC-Sectin ya tatu mzazi huwa anafungwa kizazi
Hii nimeiona sana majuu na ni uhakika hata mke wangu alifungiwa

Ni hatari sana kuendelea kula kisu kila wakati mzazi anaweza kufa
Huu sio uzazi wa kawaida jamani, kwa hiyo una limit
Na ni kidonda kilichopona huoni tumbo linaweza kupasuka kwenye mshono wa mara kwa mara
Kwa wasioelewa wajisomee zaidi kujifunza
 
Mkuu vp walifunga kizazi bila ridhaa yenu au mlitoa ridhaa kama mume na mke?
Lakini hapa tunaongelea mtu ambae imeshatokea amepata mimba sasa afanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…