Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

Sababu kuu ni age factor. House girl anakuwa na umri mdogo. Kizazi kiko karibu. Binti yoyote under 20s. Ukimwaga ndani tu mimba anashika fasta fasta
Wanawake wenye njaa kali hata awe Menopause anashika mimba. Yaani hata ukilala ukaota umefanya naye ngono bila kinga akijua uliota mimba inashika.
 
Mimba za maskini zinabebwa wadada wakiwa wadogo hawajajanjaruka.. mimba za matajiri wanazibeba wadada wakiwa wakubwa wakubwa washakuwa wajanja.

Mimba kwenye tumbo la early 20s kuharibika ni ngumu sana.. tofauti na mimba ya late 20s ama 30s.. kidogo tu imeharibika
Hii ni kitaalamu zaidi.

Na kwenye hiyo age ya15 hadi 20's mabint wanakua hawana haja na sponsors wanataka mikuyati tu na mapenzi ya kudanganyana na madogo wenzao.

Akifika 24 huko anashtuka kua anapoteza muda, anatafuta jibaba, jibaba linatwika na kutwika binti hadaki mimba.
 
Miaka 24 binti bado mdogo. Mayai yana nguvu. Mimba zinasumbua mabinti kuanzia miaka 28 kwenda juu
 
Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani.

Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka hata kwa kujinyoosha maungo tu.

Mimba ambazo wadada wanakuwa wamebebeshwa na walalahoi huwa hazisumbui na kamwe hazitoki hata itokee ajali ya kuangukiwa na ukuta.

Wanaume maskini huwa wana nini lakini?
Kama hivyo basi tafuta mbili kwa pamoja🤣
 
siongei kwamba mimi ni tajiri, ila mimba zote za mke wangu huwa inasumbua kuanzia inavyoingia hadi miezi saba, kudeka, kuugua,kutapika, shida tupu. ila ndugu zangu kule bush utawakuta wana mimba na wamebeba kuni na furushi la viazi na mimba haichoropoki. kuna mmoja alishawahi kujifungulia porini peke yake ameenda kuchanja kuni.
 
Hata kwa wanawake. Unaweza kuwa na mwanamke mtoto wa ushuani unampenda kweli unatamani akuzalie muendeleze ukoo wenye fedha, unafanya nae kila siku mimba haishiki. Mguse mfanya kazi wako wa ndani sasa hata bahati mbaya tu, mapacha hawa hapa.
Utajua hujui.
 
1000083612.jpg
 
Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani.

Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka hata kwa kujinyoosha maungo tu.

Mimba ambazo wadada wanakuwa wamebebeshwa na walalahoi huwa hazisumbui na kamwe hazitoki hata itokee ajali ya kuangukiwa na ukuta.

Wanaume maskini huwa wana nini lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom