Mbegu zetu mafukara zina NTA, zikiingia kwenye yai zinanasa kama ruba. yaani mzigo umezingirwa na gundi ya lamiKuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani.
Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka hata kwa kujinyoosha maungo tu.
Mimba ambazo wadada wanakuwa wamebebeshwa na walalahoi huwa hazisumbui na kamwe hazitoki hata itokee ajali ya kuangukiwa na ukuta.
Wanaume maskini huwa wana nini lakini?
Acha Mungu aitwe Mungu tu!
Ina ukweli Fulani DR Mambo JamboMimba za maskini zinabebwa wadada wakiwa wadogo hawajajanjaruka.. mimba za matajiri wanazibeba wadada wakiwa wakubwa wakubwa washakuwa wajanja.
Mimba kwenye tumbo la early 20s kuharibika ni ngumu sana.. tofauti na mimba ya late 20s ama 30s.. kidogo tu imeharibika
🤣🤣🤣🤣..Ina ukweli Fulani DR Mambo Jambo
🙏🙏🤣🤣🤣🤣..
Kuharibika kwa mimba hakutegemei Wewe ni tajiri au maskini..
Maybe angezungumzia Umri..
But all Ni epidemiologically maana bado study zinafanyika kila siku..
Tutafute tu hela.Kila kukicha nyuzi ni za kutusema na kutufanya tujione hatuna haki hata ya kuwa humu JF, lol!