Mimba ya Wema Sepetu ni ya Diamond?

Mimba ya Wema Sepetu ni ya Diamond?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Si kwa ubaya, ni katika kumsaidia Diamond asiingie katika chama cha kutunza watoto wasio wao kwenye ndoa (CCWN). Naamini kama zoezi litafanyika kupima DNA ya mwanao unaweza poteza ndoa yako na kubaki bachela milele, si mbaya kuulizana hili kwa wale wanaozaa kabala ya ndoa.

Naamini na nawatakia maisha mema mapya aijalishi mtoto wa nani anakuja tumeumbwa kulea, wish you the best family, best baby boy


Kauli ya Wema kwenye hili
Ila Wema ameshakanusha hizi habari

attachment.php
 
Pdidy mdakudaku tu yaani! Na mkeo unamfanyiaga DNA???

Mwaya naona kaampeni za mgonjwa zimevamiwa kila mtu Ana ngo na magonjwa




Nw NAJA NA KAMPENI YA KUTOKOMEZA KUTUNZA WATOTO wa watu kwenye ndoa
 
Si. KWA UBAYA NI KATIKA KUMSAIDIA DIAMOND ASIINGIE KATIKA CHAMA CHA KUTUNZA WATOTO WASIO WAO KWENYE NDOA(CCWN)


NAAMINI KAMA ZOEZI LITAFANYIKA KUPIMA DNA YA MWANAO UNAWEZAPOTEZA NDOA YAKO NA KUBAKI BACHELA MILELE

SI MBAYA KUUULIZANA HILI KWA WALE WANAOZAA KABLA YA NDOA


NAAMINI NA NAWATAKIWA MAISHAMEMA MAPYA AIJALLISHI NI MTOTOWANANI ANAKUJA WANAUME TUMEUMBWA KULEA
WISH U


BEST. FAMILLY...BEST BYB. BOY

mwalimu wangu wa lugha alishanifundisha maana ya usemi wa "ya Ngoswe muachie Ngoswe".
 
Kwenye post hii nimepata kitu nacho ni kuwa Wema sepetu ana mimba,nashukuru kwa kulijua hilo basi!
 
Si. KWA UBAYA NI KATIKA KUMSAIDIA DIAMOND ASIINGIE KATIKA CHAMA CHA KUTUNZA WATOTO WASIO WAO KWENYE NDOA(CCWN)


NAAMINI KAMA ZOEZI LITAFANYIKA KUPIMA DNA YA MWANAO UNAWEZAPOTEZA NDOA YAKO NA KUBAKI BACHELA MILELE

SI MBAYA KUUULIZANA HILI KWA WALE WANAOZAA KABLA YA NDOA


NAAMINI NA NAWATAKIWA MAISHAMEMA MAPYA AIJALLISHI NI MTOTOWANANI ANAKUJA WANAUME TUMEUMBWA KULEA
WISH U


BEST. FAMILLY...BEST BYB. BOY

chai jaba alishawai kukiri kua kuna watu walikua wanamwambia wema ni malaya aachane naye but yeye alijibu kua wamuache hata kama na umalaya wake yee kashampenda

sasa wewe poteza mda tu
wakati mwenzako mahaba nisulubu kama kama spain kwa uholanzi
 
Mmmh.kwahyo wema n mjamzto?? Wenyewe wame confirm au n fununu tu????
 
Ahsante kwa taarifa kuwa bidada ame conceive!
Ni ya nani,akijua yeye inatosha.
 
Tuko episode ya ngapi jamani maana nilikuwa safarini.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Angepata mimba za miguu ingekuwa si ajabu kujadili, lakini ya tumboni mi naona ni wakati wake huu.
 
Back
Top Bottom