Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?
Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi
Samahanini kwa usumbufu
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?
Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi
Samahanini kwa usumbufu
Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
Kwann kuulizia mimba ya mtu?
Wengi wenu ni timu mama Ubaya.!afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block
Imefikia chalinze......
Kesho inaondoka kwenda England kuangalia mechi kati ya Arsenal na west ham united...
afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block
nashaanga....!!!!