Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
"Mwanaume au mwanamke " tofauti finishing tu nyumba ile ile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
mtoa mada jaribu kufikiri hata kwa kutumia akili za kukopa,, mimba ya Zari ww inakuhusu nn??
Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
Hapo Ndomo atueleze vizuriiii
jana tuu katoka kuwaambia amebebewa na mama zao, sasa sijui hawakielewa??
Si vibaya kutaka kujua, ukishakua celeb. ni kawaida raia kufuatilia each of ur biz., hata unavyotiana.
Tupe tu msaada wa picha., tujiridhishe.
Guys acheni kuonea watu banaa. Jana tu that stupid pro nerd alipozaa nilihoji mkanivamia kichizi. Eti Aunt celeb. Sasa watu wanauliza kuhusu Zari. Nae a pro of sorts. U kweli Pumzi MI naamini huyo Sepenga na Zari wali kuwa stunts tu never lovers wa huyo mpuuzi anaejiita platinumz . Sijui nini maana yake