Mimba ya Zari

Mimba ya Zari

NasDaz unaonekana una uhakika sn
Kwani geni hapo nini? Au wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba hadi uone ni kama something very special? Anyway, kwa Uganda kuna mtandao wa BigEye ambao wenyewe unaongoza kwa kumfuatilia Zari... habari yao ya karibuni kabisa, hii hapa:
Big Eye / March 10, 2015

By Stuart G-khast

News from both Tanzanian and South African sources have confirmed to us that 40-year-old Zari is shockingly pregnant a few years before her menopause.

- See more at: Zari pregnant for Diamond Platnumz. [Photo]Bigeye.ug
 
mtoa mada jaribu kufikiri hata kwa kutumia akili za kukopa,, mimba ya Zari ww inakuhusu nn??

We vp hujui uko jukwaa gani nn? mimba ya zari inawahusu watanzania kiujumla kwa sababu ni ya celebrity wa bongo diamond platinumz ndio maana kila kitu chake watu wanataka kukijua na ndio maana hapa JF kumewekwa jukwaa mahusus kwa watu maarufu kama wao ili tupate habari zao kinagaubaga!!!

hili sio jukwaa la kuzungumza habari za watu wa kawaida ngumbale kama ww au mm kupata kunamuungu!!!
 
na Wewe mara ya mwisho ulimuona lini ana hyo mimba?
Mie wala sina sababu hiyo coz' hilo suala halijawahi kunisumbua hata mara moja hadi nitake kuthibitisha akiwa ana mimba au hapana! So long as wenyewe wanasema ana mimba, why should i then care to find out whether it's true or not? Yanini nianze kuchungulia tumbo lake kuangalia kama imeanza kutokeza or not? Wangesema Diamond ndie kabeba hiyo mimba sawa, lakini Zari??!!!!
 
Kwani geni hapo nini? Au wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba hadi uone ni kama something very special? Anyway, kwa Uganda kuna mtandao wa BigEye ambao wenyewe unaongoza kwa kumfuatilia Zari... habari yao ya karibuni kabisa, hii hapa:

haina noma ndugu yangu nimekuelewa sana PEACE
 
We vp hujui uko jukwaa gani nn? mimba ya zari inawahusu watanzania kiujumla kwa sababu ni ya celebrity wa bongo diamond platinumz ndio maana kila kitu chake watu wanataka kukijua na ndio maana hapa JF kumewekwa jukwaa mahusus kwa watu maarufu kama wao ili tupate habari zao kinagaubaga!!!

hili sio jukwaa la kuzungumza habari za watu wa kawaida ngumbale kama ww au mm kupata kunamuungu!!!

Achana nae huyo mpuuzi labda alitaka tumzungumzie yeye
 
Kwani geni hapo nini? Au wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba hadi uone ni kama something very special? Anyway, kwa Uganda kuna mtandao wa BigEye ambao wenyewe unaongoza kwa kumfuatilia Zari... habari yao ya karibuni kabisa, hii hapa:

haina noma nimekusoma
 
Kwanza pics nyingi ambazo anaweka instagram cku hizi hazimuoneshi tumbo lake kwa uwazi... picha ambazo zipo full nyingi ni zile za 12/03/2015 ambazo zinaendana na hiyo caption ya TBT na karibu zote amezi-lable TBT! Don' forget mambo ya wana-Instagram walipokuja na ile kampeni yao ya Bring Back Our Body... ndipo Zari akaanza kuweka hizo photos!

ok asante kwa ufafanuzi wacko
 
Fuatilia kijana Mondi anavyojua kumaintain jina & kazi yake kwa namna nyingi mkuu....anzia hapo utaelewa nilimaanisha nini..

compos toa password ndugu yng
 
huyu si mwanaume bali ni mtoto wa kiume mwenye homoni za kike....maana mwanamume kama mwanamume hawezi akasumbua akili yake katika mambo ya kipuuzi kama haya...kwani ana mambo mengi sana ya kufanya..

naaam.
 
ww nemulo ni mse.nge sn sasa umekujaje kwenye post za,watu wenye homon za kike???? soma post za kiume ww ****

Najua uliianzisha hii thread ili upate d.u..du kutoka kwa wanaume...mwanaume hawezi anzisha thread ya kimbwira mbwira kama hii
 
Back
Top Bottom