Mimba ya Zari

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?

Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi

Samahanini kwa usumbufu
 
afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block
 
Si vibaya kutaka kujua, ukishakua celeb. ni kawaida raia kufuatilia each of ur biz., hata unavyotiana.

Tupe tu msaada wa picha., tujiridhishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…