Mimba ya Zari

Mimba ya Zari

oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?

Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi

Samahanini kwa usumbufu

Loading......,ninaamini wewe sio mwanaume.ngoja niishie hapo
 
Kwani ulipompa mkeo mimba/ulipopewa mimba alikufatilia? Fanyeni yenu acheni afanye yake' awe nayo asiwe nayo nini mbaya kwako?
 
Hivi kuna mimba kweli? Maana kuna picha niliona kwa shogaye sinta hilo tumbo ni kubwa kuliko umri wa mimba isije ikawa kiini macho. Maana tumbo mara lionekane mara lipotee hata sielewi
 
kama hataki tufuatilie aache kutangaza

Yeye anafanya yake ukifatilia
1.utakuta wewe ndie uli-mfollow insta
2.utakuta ww ndie ulieomba urafiki FB
3. Ujifatilia utakuta wewe ndie unaemfatilia ukikuta habari yake sie yeye anatangaza utakuta waandishi wameandika na hawakatazwi kufanya hivyo' ukija JF ukikuta thread inamuhusu we katiza tu au hujui kuignore kitu au mtu' fanya yako we mwache na yake-muignore
 
Back
Top Bottom