Ni kweli kabisa hata tafiti zinaonyesha neighbourhood inachangia. Binti wa Masaki kupata ujauzito na kuacha shule ni mara cha he sana. Huku kwetu Kwamtogole ni kawaida tu.Hili suala kidogo ni complicated sana maan kimtazamo wangu naona
60% huchangiwa na mazingira na maisha ya bint anayokulia kma kwao n maskin uwezekan huongezeka
4o% huchangiwa na utashi wa muhusika mwenyew kujua ni nini anataka na hpa ndo kweny mziki haswa maana hpa ndo huamua maisha yote ya muhusika mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wakipeana mimba mvula na msichana wa miaka 16, mvulana anafungwa na msichana kufukuzwa shule?Vijijini ni shida, jamii pia inachangia kuficha uaovu wao wanadai kumalizana kindugu na mtuhumiwa anaendelea kupeta kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app