Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
1610962529739.png

Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao.

Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo

Mila ya Ukeketaji ni changamoto nyingine inayowakabili Watoto wa kike ukiachana na mimba za utotoni

Kwa takwimu, asilimia 35 ya Wanawake wenye miaka kati ya 15 na 46 walikeketwa kabla ya kufikisha mwaka mmoja. (Chanzo: TDHS 2015/2016)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom