NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 278
Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anapendelea sana Mnyama na kutuharibia timu ya taifa.Msomali hataki kuambiwa ukweli
Atakwama tuJamaa anapendelea sana Mnyama na kutuharibia timu ya taifa.
Na kocha wa timu ya taifa ni mrundi, timu inacheza na warundi leo.Rais msomali,katibu mburundi!
Wewe ndo umewataja hakuna sehemu. Yoyote niliyemtaja mtu.. Hapo namaanisha MBWA mwenye miguu mnneEmbu acha kumdhalilisha Mbwa mpe heshima yake, Huyo Wallace Karia na wenzake ungewataja kwani shida nini?
Mtake radhi sasa maana unaonyesha dharau kwa mnayama naempenda kuliko woteWewe ndo umewataja hakuna sehemu. Yoyote niliyemtaja mtu.. Hapo namaanisha MBWA mwenye miguu mnne