MIMBWA KARIBU NA JENGO LA TFF

MIMBWA KARIBU NA JENGO LA TFF

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
396
Reaction score
278
Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
 
Embu acha kumdhalilisha Mbwa mpe heshima yake, Huyo Wallace Karia na wenzake ungewataja kwani shida nini?
 
Sasa kama mimbwa inaweza kukuongoza wewe mwenye akili timamu nani ana tatizo hapo kati yako wewe na mimbwa.
 
Back
Top Bottom