GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
Kwa nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu?
Hazina Scientific proof.Soma comment yangu hapo juu.Kwa nini mkuu?
Kuna mingine ikiguswa inaachia harufu moja kali sana.Nilishaiona mimea ya aina hiyo. Ukiigusa tu, inasinyaa
Umemaliza kila kitu mkuu. Uzi ufungwe sasa..[emoji28]Sio inamaaikio Bali ni kuwa kunywa chako kina nguvu ya kuumba lolote ulisemalo, na hii ni kwa kila kitu... Iwe watoto, ndoa, biashara nk. Unaweza kuumba vile utakavyo, ukitamka Milana kichwa cha ummba, ukitamka Baraka vilevile... Kazi kwako sasa[emoji120][emoji120]
Jina siufahamu. Ila udogoni tulikuwa tunauchezea sanaMmea gani ukiugusa ghafla tu unasinyaa pole pole?
Hapo ndipo ninapoona kuwa Binadamu tumefichwa vitu vingi sana katika ulimwengu wa rohoni [emoji142][emoji1745]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hizo ni myths tu; Hamna lolote. Kisayansi hamna kitu km hicho. Km Mwanataalamu wa Sekta ya Kilimo, nimesoma issue za Plant Botany, Plant Physiology, Crop physiology. Lkn sijawahi kusikia kitu km hicho [/B]
okHuu ndio USOMI UCHWARA ninaoukataa kila siku?
Kitu kama HUKIFAHAMU kwanini usiwe mpole na ukakubali kwamba WEWE NI MJINGA ili uweze KUJIFUNZA ZAIDI?
Na nikueleze tu, hiyo BOTANY YAKO ni uchafu mtupu, kuna mengi ambayo huyajui na unatakiwa kukaa kitako ujuzwe na wajuvi.
Oohhh mi nimesomea BOTANY!!! ZUMBUKUKU!!!!
Hata DR Mambo Jambo ananielewa kwenye hili. Hatutaki wasomi uchwaraaaaah!
Samaleko.
Mbona kama umepaniki sana? Ni post yake tu au kuna jambo lingine mnagombana na jamaa? Inaonekana hupendi wasomi kabisa?Huu ndio USOMI UCHWARA ninaoukataa kila siku?
Kitu kama HUKIFAHAMU kwanini usiwe mpole na ukakubali kwamba WEWE NI MJINGA ili uweze KUJIFUNZA ZAIDI?
Na nikueleze tu, hiyo BOTANY YAKO ni uchafu mtupu, kuna mengi ambayo huyajui na unatakiwa kukaa kitako ujuzwe na wajuvi.
Oohhh mi nimesomea BOTANY!!! ZUMBUKUKU!!!!
Hata DR Mambo Jambo ananielewa kwenye hili. Hatutaki wasomi uchwaraaaaah!
Samaleko.
Nyie wasomi uchwara wa oya oya mnajifanya kujua wakati hakuna mnalolijua.Mbona kama umepaniki sana? Ni post yake tu au kuna jambo lingine mnagombana na jamaa? Inaonekana hupendi wasomi kabisa?
Mbona una hasira sana na wasomi. Shida ni nini? Hupaswi wachukia wasomi.Nyie wasomi uchwara wa oya oya mnajifanya kujua wakati hakuna mnalolijua.
Ukishakariri vimisamiati viwili vya kigiriki na kutunukiwa DIPLOMA YA UBABAISHAJI basi huambiliki! Ati nimesomea BOTANY!!
Jifunze na uache makeke uchwara.
Ila hii ilikua ni hadithi ya kusadikika.mfalme ana masikio marefu kama ya punda chanzo n mti wallahi una hoja
Kibongo bongo lakiniMiti ina nafsi, chunguza Kwa makini biashara ya mkaa ina pesa nyingi Sana lakini wote wanaofanya biashara hiyo hawana maendeleo sawa na kazi ya serelamala Tu, ni laana tupu.
Mtoa hoja ana hojaNyie wasomi uchwara wa oya oya mnajifanya kujua wakati hakuna mnalolijua.
Ukishakariri vimisamiati viwili vya kigiriki na kutunukiwa DIPLOMA YA UBABAISHAJI basi huambiliki! Ati nimesomea BOTANY!!
Jifunze na uache makeke uchwara.
Hata mimi nimecheza sana huo mmea , mara nyingi kwa kule kwetu ulikua una stawi sana kwenye chemichemi za maji.Jina siufahamu. Ila udogoni tulikuwa tunauchezea sana