Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Changanya damu ya chura na mafuta ya nguruwe kutibu ugonjwa wa bawasili

 
TUANGALIE TIBA YA KUTOSIKIA VIZURI/
UDHAIFU WA KUSIKIA,.Chukua vitunguu maji 🧅🧅🧅vikubwa 3 twanga mpaka upate juisi yake,.usitie maji,yani kiwe kitunguu tu,.utakuwa wadondoshea tone 1 kila sikio fanya 1X3 mpaka upone tiba hii ni mujarabu imeponya wengi

INSHAAALLAH ❤️ NASUBIRI MREJESHO
 
Chukua mavi ya ng'ombe ,lowesha ili yalainike ,kisha chukua karatasi na andika jina lake mara tisa alafu paka hayo mavi kwenye hiyo karatasi na iache hapo kwa siku tisa kisha nenda kazike baada ya siku tisa.
By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀🔥🔥
 
Si unapenda umbeya 😸😸😸

Basi amka usiku wa manane kisha jipake damu ya paka iliyochanganywa na kisamvu mpira pamoja na majani ya mbaazi kisha toka nje ukiwa uchi alafu elekea njia panda

🚨 Mdharau mwiba.....
By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀
 
Kama unataka mtu ahame basi chukua mchanga wa unyayo wake yaani sehemu aliyokanyaga kisha rusha linapochomoza jua au magharibi au sehemu tofauti tofauti
 
Ukitaka mtu asilale usiku basi chukua udongo wa kaburi kisha nyunyizia chini ya kitanda chake
By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀🔥🔥
 
Asante,hivyo viungo kiasi gani mkuu navisaga,mfano tangawizi ngapi,vitunguu saumu vingapo,pilipilimanga ngapi nk
 
Sio rahisi hivyo Kuna jamaa yangu mifugo yake iliuliwa na shamba likazulumiwa alifanya mambo mengi sana kwa ajili ya adui yake lakini wapi hiyo inshu ya chura nayo alifanya WATU WENGI NDUGU ZAO WAMEULIWA HAPA NCHINI INAMANA WAKIMTOBOA CHURA NA KUFUATA ULIVYOSEMA NANILIU ALIYEHUSIKA ATAKUFA AU ATAUMWA HATA MAFUA hahhaahhaahahahahhahahaha nitafute nikupe jibu
 
Uwez elewa mambo ya asili,Sasa utampiga mtu tu bila kumpiga research kama na yy ana zana zip na amejipangaje kivita🤷🏽‍♂️,Sasa Bora hao waliwapiga adui zao Waka Kaa kimya unakuta adui n kichefu chefu alafu akubal kushindwa ukimgusa yy anafanya kweli apo ndo tunapo kulia ubwabwa😂😂🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️
 
Manyara, specifically Mbulu na Babati. Kwa mkoa wa Arusha wako sana Karatu.
Dr. Willbroad Slaa &Pauline Gekul ni Wairaqw
nkwambie wairaq ni wambulu, kina Sumaye, wazee wa idomaa, idorii, saitaa. Wakina Dagharoo 😂😂😂
 
Shamba kwangu yameota hadi kero kumbe dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…