Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Asante doctorTIBA YA KUACHA SIGARA
Kamua limao upate maji yake changanya na maji ya kunywa...
Kila ukisikia hamu ya kuvuta sigara,kunywa maji hayo..
Mafanikio mema..
Kalibuni sana JIJINI WHATSAPP 👇🏽👇🏽
Anastasia21 BICHWA KOMWE - BRAZA CHOGO MPUNGA MALI Nikifa MkeWangu Asiolewe
By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀🔥🔥
😂😂😂 Chibaba chako apaAsante doctor
Sawa chibaba 😹😂😂😂 Chibaba chako apa
Nimekuleta kwenye huu ulimwengu mwingine wa Tiba 😂😂Sawa chibaba 😹
anisaidia sana huu ulimwengu chibabaNimekuleta kwenye huu ulimwengu mwingine wa Tiba 😂😂
Bas kula nyama nyamaza chimama changuUt
anisaidia sana huu ulimwengu chibaba
Ya kuona wachawi hii😜Si unapenda umbeya 😸😸😸
Basi amka usiku wa manane kisha jipake damu ya paka iliyochanganywa na kisamvu mpira pamoja na majani ya mbaazi kisha toka nje ukiwa uchi alafu elekea njia panda
🚨 Mdharau mwiba.....
By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀View attachment 3249385
Wewe ndo umeamua kutoa code kabisaaa 😂😂😂Ya kuona wachawi hii😜
Kiiraq watu wa manyara hukoKabila za mikoa ipi hiyo?
🤣🤣🤣acha kututishaaMtakunywa hadi visivyofaa
mkuu uongo umeanza lini ,mwanamke anapata mimba kabla ya kuvua pichu🤣🤣🤣HII NI FUNGA KAZI YA MWAKA KWA WAMAMA.
HII UNASHIKA MIMBA HATA KABLA YA KUVUA👙🩲
NI POA KWA WALE AMBAO WAMEACHA DAWA ZA UZAZI NA WANATAKA KUBEBA MIMBA. SAFISHA KIZAZI NA DAMU.
UTAPATA MTOTO ALIYEKUZIDI AKILI ILA SIO MIMI. INAITWA COMBO MIX BY YAS🫵
WEWE TUMIA MIMI SITAKI PESA YAKO🙅 NITALIPWA NA ULIMWENGU
1.Karafuu
2. Mdalasini
3. Limao
4. Swaumu
5. Pilipili manga
6. Tangawizi
Matumizi
Changanya sehemu Moja, twanga na uloweke kwenye maji ya uvuguvugu Kisha ndani ya saa 12 utapata fusion nzima.
Ukiamka asubuhi glass Moja Kisha jioni pata Tena glass ingine.
Fanya hivyo kwa siku 30.
Na kama upo kwenye ndoa utaipendView attachment 3225450a hiyo
Sasa mkuu hutaki au 😂😂😂😂mkuu uongo umeanza lini ,mwanamke anapata mimba kabla ya kuvua pichu🤣🤣🤣
nimekuelewa kuwa unanogesha TangazoSasa mkuu hutaki au 😂😂😂😂
Sio tangazo ingekua tangazo nisinge weka jinsi ya kuitengeneza iyo dawa acha unafki mkuunimekuelewa kuwa unanogesha Tangazo
WEWE TUMIA MIMI SITAKI PESA YAKO🙅 NITALIPWA NA ULIMWENGU.nimekuelewa kuwa unanogesha Tangazo
sawa mkuu nimekuelewaSio tangazo ingekua tangazo nisinge weka jinsi ya kuitengeneza iyo dawa acha unafki mkuu
Naam tahadhar hua natoa na viwango hua natoa pia,ila Kuna darasa la masomo haya zaidi uko jijini WhatsappHizi tiba ni nzuri sana.... Ila mngekuwa mnatoa tahadhari kwa wenye shida za moyo, presha za kupanda au kushuka, shida za figo, ini watumie kwa kiwango gani ili kuepuka madhara zaidi.... 😍
Huu mmea tulikua tunachukua vichwa vyake tunaviingiza vinashikana alafu tunavifanyisha mchezo mbaya tunavipigishs mauno balaa, kumbe tunachezea dawa 🤣🤣🤣🤣HUU MMEA WENGI HUITA NYASI/GOOSE GRASS
KUNA SEHEMU NJE NA TANZANIA KILO MOJA HUUZWA SI CHINI YA MILION 7 NA KUENDELEA
HII NI TIBA MAARUFU NA NZURI YA MAGONJWA YA FIGO
TUZIJUE DALILI ZA AWALI ZA MAGONJWA YA FIGO
🌹Kupungua kiwango au kutopata haja ndogo
🌹Damu kwenye haja ndogo(hapa sio lazima uone rangi nyekundu mkojo unaweza kuwa na rangi ya chai au coca cola)
🌹Miwasho
🌹Kuchoka
🌹Kuvimba sehemu za mwili kama uso,miguu nk
🌹Kupungua uzito
Watu wengi wanaokufa kwa magonjwa ya figo ni kwasababu wanaenda hospitali katika hatua za mwisho kabisa za ugonjwa ambazo gharama za matibabu huwa ni kubwa kama kusafishwa damu, au kupandikizwa figo lakini unapong'amua dalili hizi na kuamua kwenda kufanyiwa vipimo basi unaweza kuokoa uhai wako kwa gharama nafuu zaidi na hata Bure kabisa maana huo Mmea nilioutaja ni msaada kwa Magonjwa ya Figo
Tumia huu mmea Kwa matokea mazuri pia ni Dawa ya Maumivu, uvimbe katika ovari, hukinga saratani za aina zote , kutoa sumu mwilini ndani ya wiki 3 tu...
MATUMIZI
CHUKIA MMEA WOTE OSHA KISHA CHEMSHA KWA DK 15 ,OPOA KUNYWA IKIWA YA UVUGUVUGU KIKOMBE KIMOJA MARAView attachment 3225442 MBILI KWA SIKU