Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

inaonyesha we ni muumini mchwara ndo mana kanisa linashindwa kukupa sapoti au wanahofu ukifika da utaanza kuvunja mifupa.
all in all ungen-tag nngekusaidia ufike dar ht kwa mawazo.
 
inaonyesha we ni muumini mchwara ndo mana kanisa linashindwa kukupa sapoti au wanahofu ukifika da utaanza kuvunja mifupa.
all in all ungen-tag nngekusaidia ufike dar ht kwa mawazo.
😳😳😳😳 Kanisa hawatoi support kwa mtu, wamesema kila mtu ajiandae.
 
hahahahahah role model wangu. Najua wewe hauko kwenye nchi hii ya minyoo na taifodi. hahahahahaha.
Ila ndio hivyo tarehe 6/9/2016 ndio siku ya kumsindikiza Askofu Rwaichi kwenda Dar.
Jaribu kuongea nae anaweza kukutumia pesa kupitia watu wengine wa karibu yake ambao wapo tz

[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasindikizaji wote tunakuwa kwenye msafara mmoja. Hata askofu atapanda gari sio bambadia. Tunakwenda kama msafara ujue
Duu!!! Ok nitakupa contact ya mtu akulete dar kwa private car ajiunge kwenye msafara huo, ukifika dar gharama za maisha kwa siku utakazo kuwa ni juu yangu.
 
Sasa wee si umeshapachoka huko Dar hasa Pwani huko Msata kwa Mzee Mshana Jr. hahahahaahah.
Siku ukiwa tayari kuja Mwanza niambie tu mpendwa utanikuta, tena mtu mwenyewe mie ni wa viwanja nitakuzungusha kila kona
Waoooh dada nakupendaje hakika nina mengi ya kuongea na wewe hakika niombee nipate likizo mwezi wa 12 nije kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza ni pazuri japo sio kama Dar.
Mwanza uzuri wake hasa upande wa hoteli. Kuna hoteli nyingi sana, nzuri halafu bei yake ni nzuri sana.
Pia Mwanza hakuna msongamano.
Sio kama Dar, nakumbuka kipindi fulani nilikuwa naishi hapo Dar tena katikati Posta jengo la Jojis club yaani ilikuwa nikienda kunywa vibia vyangu Kimara kwa mashosti, foleni ya kurudi posta, mkojo wa bia, hadi nashuka njiani kwanza nikojoe then nipande tena gari.
Ngoja nijipange, ipo siku nitalitembelea hilo jiji nije kula supu ya sato na sangara
 
Back
Top Bottom