Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Wanajf salamu kwenu.

Naandika thread hii ya kumtakia baba Askofu Rwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza ambaye amehamishiwa Jimbo kuu la DSM Safari njema..

Tarehe 6/9/2018 ndio safari itaanza rasmi hapa Mwanza ya kumsindikiza baba kuelekea Dar. Safari imeratibiwa vizuri. Waamini/Walei ambao wanataka kumsindikiza baba askofu kwa yule ambaye yuko tayari anatakiwa kuchangia nauli yake ya kwenda na kurudi kiasi cha Tshs.90,000/=.

Nahuja mie, natamani kwenda lakini vyuma vimeshika vibaya.

Natamani sana na mie niunge kwenye hiyo safari ili nikaione Dar maana sipajui kabisa, wanasema nikiwa Dar ni kama niko kwa Trump.

Naombeni mniunge mkono kwa kunichangia changia pesa nyingi ili nije huko Dar.
kivyako, Castr, Ushimen kabanga Ambiele Kiviele, Shunie mshipa Da'Vinci espy Mshana Jr Maxence Melo, SANCTUS ANACLETUS masara
Dada NAHUJA usijali nakutumia ticket ya ndege leo jioni.
 
Jina la bwana lihimidiwe na Kaskazini tumetoa Kadinali 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Sijui kama hilo jambo litakuwa limemfurahisha kaka yule!!!! hahahahaah. Ila ndio hivyo Rwaichi atakuwa kardinali Mungu akipenda
 
Back
Top Bottom