- Thread starter
- #21
🙂🙂🙂🙂 Hayawacha weeeee, nawe subiria michango ya kumsindikiza baba yetu, ili utimize two in one wishes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂🙂🙂 Hayawacha weeeee, nawe subiria michango ya kumsindikiza baba yetu, ili utimize two in one wishes
Nadhani hawapendi vidume wa mikoani wanavyowagongea madada/wake za wanaume wa dar.Kwasababu hawapendi kuambukizwa shombo la mkojo wa ng'ombe labda
😀😀😀😀😀😀😀😀Nadhani hawapendi vidume wa mikoani wanavyowagongea madada/wake za wanaume wa dar.
Kumbe jibu unalijua...Nadhani hawapendi vidume wa mikoani wanavyowagongea madada/wake za wanaume wa dar.
Ushapata nauli?Heeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Umgeweka na # yako ya simu ingesaidia baadhi ya member wengine wanatakao guswa wakuchangie
Binafs sipo katika hari nzur ya kiuchum kwa sasa
espy
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu @najuha nikupeleke dar wakati mi mwenyewe napasikiaga kwa tvHata wewe pia unatosha kunifadhali pesa nyingi nije Dar nipafahamu🙄
Mimi nimebaguliwaUmgeweka na # yako ya simu ingesaidia baadhi ya member wengine wanatakao guswa wakuchangie
Binafs sipo katika hari nzur ya kiuchum kwa sasa
espy
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀Sasa mkuu @najuha nikupeleke dar wakati mi mwenyewe napasikiaga kwa tv
hahahahahah role model wangu. Najua wewe hauko kwenye nchi hii ya minyoo na taifodi. hahahahahaha.Mimi nimebaguliwa
Mwakani 2019 mwanzoni kabisaPengo anastaafu lini wakuu?
Baba Rwaichi anachukua wadhifa gani Dar?hahahahahah role model wangu. Najua wewe hauko kwenye nchi hii ya minyoo na taifodi. hahahahahaha.
Ila ndio hivyo tarehe 6/9/2016 ndio siku ya kumsindikiza Askofu Rwaichi kwenda Dar.
Dada NAHUJA usijali nakutumia ticket ya ndege leo jioni.Wanajf salamu kwenu.
Naandika thread hii ya kumtakia baba Askofu Rwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza ambaye amehamishiwa Jimbo kuu la DSM Safari njema..
Tarehe 6/9/2018 ndio safari itaanza rasmi hapa Mwanza ya kumsindikiza baba kuelekea Dar. Safari imeratibiwa vizuri. Waamini/Walei ambao wanataka kumsindikiza baba askofu kwa yule ambaye yuko tayari anatakiwa kuchangia nauli yake ya kwenda na kurudi kiasi cha Tshs.90,000/=.
Nahuja mie, natamani kwenda lakini vyuma vimeshika vibaya.
Natamani sana na mie niunge kwenye hiyo safari ili nikaione Dar maana sipajui kabisa, wanasema nikiwa Dar ni kama niko kwa Trump.
Naombeni mniunge mkono kwa kunichangia changia pesa nyingi ili nije huko Dar.
kivyako, Castr, Ushimen kabanga Ambiele Kiviele, Shunie mshipa Da'Vinci espy Mshana Jr Maxence Melo, SANCTUS ANACLETUS masara
Anaenda kufanyiwa orientation ya kuchukua nafasi ya mzee Pengo, kwa kuwa Mzee Pengo anatarajiwa kustaafu mwakani mapema kabisa.Baba Rwaichi anachukua wadhifa gani Dar?
Jina la bwana lihimidiwe na Kaskazini tumetoa Kadinali 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Anaenda kufanyiwa orientation ya kuchukua nafasi ya mzee Pengo, kwa kuwa Mzee Pengo anatarajiwa kustaafu mwakani mapema kabisa.
Anaandaliwa kuchukua nafasi ya Pengo
Sijui kama hilo jambo litakuwa limemfurahisha kaka yule!!!! hahahahaah. Ila ndio hivyo Rwaichi atakuwa kardinali Mungu akipendaJina la bwana lihimidiwe na Kaskazini tumetoa Kadinali 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾