π³π³π³π³ Kanisa hawatoi support kwa mtu, wamesema kila mtu ajiandae.inaonyesha we ni muumini mchwara ndo mana kanisa linashindwa kukupa sapoti au wanahofu ukifika da utaanza kuvunja mifupa.
all in all ungen-tag nngekusaidia ufike dar ht kwa mawazo.
Samahani mkuu KIM JOHN UN sijakusoma bado. naomba unifafanulie kama hutajali.Ameahamua kujitoa kwenye kundi la wanaoenda dar ili kuunga mkono juhudi za mzee baba
Jaribu kuongea nae anaweza kukutumia pesa kupitia watu wengine wa karibu yake ambao wapo tzhahahahahah role model wangu. Najua wewe hauko kwenye nchi hii ya minyoo na taifodi. hahahahahaha.
Ila ndio hivyo tarehe 6/9/2016 ndio siku ya kumsindikiza Askofu Rwaichi kwenda Dar.
hahahahah, unamaanisha kwamba Sky Eclat anitumie kwa babu Asprin?ππππJaribu kuongea nae anaweza kukutumia pesa kupitia watu wengine wa karibu yake ambao wapo tz
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu!!! Ok nitakupa contact ya mtu akulete dar kwa private car ajiunge kwenye msafara huo, ukifika dar gharama za maisha kwa siku utakazo kuwa ni juu yangu.Wasindikizaji wote tunakuwa kwenye msafara mmoja. Hata askofu atapanda gari sio bambadia. Tunakwenda kama msafara ujue
Ndio nalijua.Kumbe jibu unalijua...
Waoooh dada nakupendaje hakika nina mengi ya kuongea na wewe hakika niombee nipate likizo mwezi wa 12 nije kwakoSasa wee si umeshapachoka huko Dar hasa Pwani huko Msata kwa Mzee Mshana Jr. hahahahaahah.
Siku ukiwa tayari kuja Mwanza niambie tu mpendwa utanikuta, tena mtu mwenyewe mie ni wa viwanja nitakuzungusha kila kona
Ngoja nijipange, ipo siku nitalitembelea hilo jiji nije kula supu ya sato na sangaraMwanza ni pazuri japo sio kama Dar.
Mwanza uzuri wake hasa upande wa hoteli. Kuna hoteli nyingi sana, nzuri halafu bei yake ni nzuri sana.
Pia Mwanza hakuna msongamano.
Sio kama Dar, nakumbuka kipindi fulani nilikuwa naishi hapo Dar tena katikati Posta jengo la Jojis club yaani ilikuwa nikienda kunywa vibia vyangu Kimara kwa mashosti, foleni ya kurudi posta, mkojo wa bia, hadi nashuka njiani kwanza nikojoe then nipande tena gari.
Kwani ni lini uliwahi kuwa katika hali nzuri ya kiuchuimi?Ungeweka na # yako ya simu ingesaidia baadhi ya member wengine wanatakao guswa wakuchangie
Binafs sipo katika hari nzur ya kiuchum kwa sasa
espy
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nitumie basi.Nakutumia shost wangu kwenye mpesa yako uje ukimalizana na mambo ya baba askofu nikutembeze sasa jiji la bashite
Nami nitumie basi.
Siku zilizopita na zijazo.....Kwani ni lini uliwahi kuwa katika hali nzuri ya kiuchuimi?
Auntie nami si nina uhitaji kama wake jamani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie acha kuharibu uzi wa NAHUJA