Mimi binti, natafuta mwenza aliye serious

Mimi binti, natafuta mwenza aliye serious

Hivi mnaposema muelewa,.. Mnataka muelewa katika mambo yapi? Yaani kila unalompanga awe anakuelewa tu... Nanyi ni waelewa?... Maana Kuna mengine hayawezi eleweka
 
Ungekuwa na mtoto ningekuoa kwa umri huo huna mtoto basi najua umezipangua nyingi sana
Mimi bint4 natafuta mwenza aliye serious.. Tuyajenge maisha

Sifa zangu
Umri miaka 34

Elimu kidato cha

Sina mtoto

Sifa za nimtafutae
Awe na miaka 34-45

Muelewa mwenye hofu ya MUNGU awe mkristo mwenye shuguli yakumuingizia kipato, aliye tayali na maisha ya ndoa.

Kama unasifa izo njoo pm tuzungumze
 
Yaani mtoto wa kike ukiona umefika 30 ngoma bado imedinda we tafuta mtoto tu uwe single maza.
 
Comments za wachangiaji zinahuzunisha sana.
Pole dada wa watu.

Ni kweli kabisa kuwa comments za wadau hapa zinahuzunisha.Lakini chanzo cha matatizo hayo yote Ni wao wenyewe Dada zetu.Wanapokuwa kwente umri mzuri wa kuolewa wanakuwa hawasikii ushauri WA MTU yeyote yule, wanakuwa hawajitunzi wala hawajui kusoma alama za nyakati NA matokeo yake wanakuja kujutia nafsi zao kama hivi.
Pole yake, kwani anavuna matunda ya kile alichopanda.
 
Kwani huyu dada unamfahamu mkuu?
 
34?? Duuuh....ishakuwa jion ..hapo labda utapata single father
Umri huo KWA mtoto wa kike amekuwa kachelewa sana kufanya maamuzi sahihi KWA wakati muafaka. KWA mwanaume hakuna shida kwani anaweza kuoa hata binti WA miaka 20 wakati yeye mume akiwa hata NA umri WA miaka 50!
 
Dada ukihitaji under 28 yrs ni PM..hata ukitaka ndoa ya Mahakamani tunaenda...kuhusu kipato..sina nina kibamia ,show ni sec 4 tu,faceles...
Ila ninamiliki Account 6 za JF, 4 za FB,2 za IG na 1 ya Tinder..

Ukinihitaji ni PM
 
Dada ukihitaji under 28 yrs ni PM..hata ukitaka ndoa ya Mahakamani tunaenda...kuhusu kipato..sina nina kibsmia faceles...
Ila ninamiliki Account 6 za JF, 4 za FB,2 za IG na 1 ya Tinder..

Ukinihitaji ni PM
KWA nini unamfanyia masihara Dada WA watu wakati mwenzio yupo serious anatafuta mwenza???!!!???
 
Back
Top Bottom