MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Vipi kwa wale ambao Wanapenda Nyuma nikimaanisha Team Kuzibua Vyoo?Kinyesi kinatoka nyuma, nyuma ni upande wa kunyume, nyuma ni negative, watakuwa wanajitia mikosi na mabalaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kwa wale ambao Wanapenda Nyuma nikimaanisha Team Kuzibua Vyoo?Kinyesi kinatoka nyuma, nyuma ni upande wa kunyume, nyuma ni negative, watakuwa wanajitia mikosi na mabalaa
Inaondoa uchawi wote uliolishwa ndotoni. Kama unaota ndoto unakula manyama, au unalishwa dawa yake ni glass ya mkojo wa asubuhi kwa siku saba mfululizo....nafikiri hili suala ni la kiimani zaidi
Yule anayeamini atapona..
Kuna mila zingine hutumia mkojo wa asubuhi kama tiba tena kwa kunywa kabisa
Wanayatia najisi maisha yao na ya vizazi vyao vyote.Vipi kwa wale ambao Wanapenda Nyuma nikimaanisha Team Kuzibua Vyoo?
Hongera zakoUsiende mbali nina Ushuhuda Binafsi nilikuwa na tatizo la Kuugua mno na Jino huku likiniuma sana na nilitumia Pesa nyingi Kujitibu na sikufanikiwa ndipo nikakutana na Mtu akanishauri niwe Nasukutua na Mkojo wangu wa Alfajiri kwani ni Tiba nzuri na kiukweli nilitumia na sasa nina Mwaka wa 4 Siumwi tena Jino na MImi pia nimeshauri Wengine nao pia wamenipa Mrejesho huo huo kuwa Umewasaidia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiuhalisia hii hela haitalipika huku uswahilini itakuwa ni kama kodi ya majengo
Kweli kabisa na chances are DM ya jamaa imejaa maswali ya maelekezo zaidi to kwa wadau.Hata hivyo pamoja na kwamba hapa Tunamchana Jamaa ( Mleta Mada ) ila kwa ninavyowajua Watanzania tulivyo Wanafiki na huu Uzi sasa uko Ukurasa wa Tano nina uhakika 85% tunaochangia hapa Leo tumeosha Minyago ( Misura ) yetu na Kojo la Alfajiri ( Asubuhi ) ila hapa tunazuga tu huku tukisubiria Mrejesho wa Kojo kama Mambo yetu Kimaisha yatabadilika.
Wamekusikia.Wanayatia najisi maisha yao na ya vizazi vyao vyote.
😂😂😂 haya kamanda watakuwa wamekusikia wenyeweKinyesi kinatoka nyuma, nyuma ni upande wa kunyume, nyuma ni negative, watakuwa wanajitia mikosi na mabalaa
Asante😂😂😂 haya kamanda watakuwa wamekusikia wenyewe
Na hilo, naenda kulitazama!Sasa ili upendeze na kung'aa zaidi ukinawia mkojo paka kinyesi. Hapo utakuwa na mvuto ten times
Safi sana. Hili nalo ukalitazameNa hilo, naenda kulitazama!