Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

....nafikiri hili suala ni la kiimani zaidi

Yule anayeamini atapona..

Kuna mila zingine hutumia mkojo wa asubuhi kama tiba tena kwa kunywa kabisa
Inaondoa uchawi wote uliolishwa ndotoni. Kama unaota ndoto unakula manyama, au unalishwa dawa yake ni glass ya mkojo wa asubuhi kwa siku saba mfululizo
 
Usiende mbali nina Ushuhuda Binafsi nilikuwa na tatizo la Kuugua mno na Jino huku likiniuma sana na nilitumia Pesa nyingi Kujitibu na sikufanikiwa ndipo nikakutana na Mtu akanishauri niwe Nasukutua na Mkojo wangu wa Alfajiri kwani ni Tiba nzuri na kiukweli nilitumia na sasa nina Mwaka wa 4 Siumwi tena Jino na MImi pia nimeshauri Wengine nao pia wamenipa Mrejesho huo huo kuwa Umewasaidia.
Hongera zako
 
Hata hivyo pamoja na kwamba hapa Tunamchana Jamaa ( Mleta Mada ) ila kwa ninavyowajua Watanzania tulivyo Wanafiki na huu Uzi sasa uko Ukurasa wa Tano nina uhakika 85% tunaochangia hapa Leo tumeosha Minyago ( Misura ) yetu na Kojo la Alfajiri ( Asubuhi ) ila hapa tunazuga tu huku tukisubiria Mrejesho wa Kojo kama Mambo yetu Kimaisha yatabadilika.
Kweli kabisa na chances are DM ya jamaa imejaa maswali ya maelekezo zaidi to kwa wadau.
 
Katika tiba mbadala watasema kwa mfano, mtu aking'atwa na nyoka,chukua maji,changanya na udongo,weka kinyesi kidogo,koroga,mpe,anywe. Lengo ni kwamba hivyo vitu vitaleta kashkash mwilini,na wakati mwili unajitakasa,sumu ya nyoka, hopefully,itatoka.
Hizi zilikuwa tiba za zamani wakati mtu hawezi kwenda zahanati kupata anti-venom.
 
Kumbe mtoto akikunyea mkononi hauukati bali unauosha kwa mkojo wa alfajiri
 
Imani ikizidi inakuwa ujinga mkuu.
Kuna mambo ya kuamini na kuna mambo unashindwa kuamini kama hata wewe mwenyewe unaweza kuamini.

Achana na imani anza kutumia akili zako mkuu.
 
Nimeshindilia maji ya kutosha ili nikiamka, nina litre kadhaa!!!
 
Mkojo ungekua unasafisha nyota Kigwangala si angeshaukwaa uwaziri
 
Back
Top Bottom