Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

....nafikiri hili suala ni la kiimani zaidi

Yule anayeamini atapona..

Kuna mila zingine hutumia mkojo wa asubuhi kama tiba tena kwa kunywa kabisa
Inaondoa uchawi wote uliolishwa ndotoni. Kama unaota ndoto unakula manyama, au unalishwa dawa yake ni glass ya mkojo wa asubuhi kwa siku saba mfululizo
 
Hongera zako
 
Kweli kabisa na chances are DM ya jamaa imejaa maswali ya maelekezo zaidi to kwa wadau.
 
Katika tiba mbadala watasema kwa mfano, mtu aking'atwa na nyoka,chukua maji,changanya na udongo,weka kinyesi kidogo,koroga,mpe,anywe. Lengo ni kwamba hivyo vitu vitaleta kashkash mwilini,na wakati mwili unajitakasa,sumu ya nyoka, hopefully,itatoka.
Hizi zilikuwa tiba za zamani wakati mtu hawezi kwenda zahanati kupata anti-venom.
 
Kumbe mtoto akikunyea mkononi hauukati bali unauosha kwa mkojo wa alfajiri
 
Imani ikizidi inakuwa ujinga mkuu.
Kuna mambo ya kuamini na kuna mambo unashindwa kuamini kama hata wewe mwenyewe unaweza kuamini.

Achana na imani anza kutumia akili zako mkuu.
 
Nimeshindilia maji ya kutosha ili nikiamka, nina litre kadhaa!!!
 
Mkojo ungekua unasafisha nyota Kigwangala si angeshaukwaa uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…