Wifi wamekukaribisha na jungu la ugali, sasa wifi mwenyewe mbona unasonga ugali kinongwa nongwaπ€£Kuweza ndio π
Ndoa ni UtapeliNaomba mchango wako WA Hali na Mali.
nakutania bhn mm nipo ndoani π€£Nakubali chifu
Popote ulipo mi nipo πUnapatikana wapi?
Mahari milioni kumi na bado akifika ndani anakupangia tarehe za kula mzigo kama marejesho ya vikoba ππMsimamo wetu ule ule mahali milioni kumi..πππππ
Alooooh weeeeh πππππKatoa 7M .,alilia lia sanaπ
,ππππ sema mwanetu huko kalia sana akufuka dau ila angalau katoa 7millionMahari milioni kumi na bado akifika ndani anakupangia tarehe za kula mzigo kama marejesho ya vikoba ππ