Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

Tungekuwa wageni kwenye hizo ndoa tusingashangaa.
Kwenye ndoa sio pa kushangia na kufurahia hivyo mleta mada.
Sema na moyo wako
Hata kama ndoa ni utapeli , kutusongea maugali na kuomba michango ni utapeli ndani ya utapeli.
Kwani nimeandika Uzi WA kuomba mchango mahi?
 
Back
Top Bottom