Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

Kwenye harusi mambo ni mawili tuu

1: Wanaharusi wanawaza kwenda kupelekeana moto na nyapu kuwaka moto kama vile hawajawahi kupigana miti kabla.

2: Waalikwa wao wanawaza kula na kuondoka na chakula
 
Kuna nini kijana wa Nkuhungu boda... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† tukaribishane huyo kondoo au ngamia aliechinjwa jamani
Karibu sana hapa boda..
Uzuri leo mwenye nyumba karudi.
Tumechoma mbuzi
Hapa wapo jikoni wana malizia kupika pilau.

Your warmly welcome. Ukifika boda tuu usipate tabu nakufata moja kwa moja na gari ya shangazi
😁😁😁😁😁😁
 
Hujatulia kabsaaaΓ ... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Back
Top Bottom