Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari katika natumaini Tu wazima na wenye Nguvu,
Mimi kama Great God niliechagua kutumia jina la Mwenyezi MUNGU maana bila hatujui wengine tungekuwa vipi humu bali ni yeye ndo anajua,
Mimi kwangu naomba ijulikane tu kwamba uzi wowote ukianzishwa au nikianzisha basi nikireply basi kwangu huwa ni utani napenda sana ucheshi na kufurahi, lakini ndugu zangu wengine wanaona nachukulia ni upumbavu nyuzi zao hapana siko hivyo kabisa, wala jinsi wanavyofikilia,
Mimi ata ukinitukana matusi yote humu siwezi kubishana nawe ntakwambia tu yameisha ndo jinsi nilivyo basi itabaki kuwa hivyo? Humu wote tunapitia tu hatuyajui ya kesho kama utaamka salama au utaamka kiungo kimoja hakifanyi kazi, sote hatujui ila Mwenyezi MUNGU pekee,
Sababu ya kuandika uzi huu ni huko nimetukanwa baada ya kuleta ucheshi wangu huu basi Mimi nipo tu ntakuwa naangalia tu. 🙏