Na sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na kubwa liliopo mjini ni mchosho unaosababishwa na wagombea wa CCM,ni lazima uhudhurie mikutano yao,eti usipohudhuria watakinukisha,natumai hata barua za ulazima huo mnaziona,wanafika mpaka kutaka tupeleke vitambulisho vya kupigia kura vya uraia,yaani ni shida kubwa.
Hivi CCM haijiamini kufanya mikutano mpaka ituchukue na tusiohusika maana wengine hawamo hata kwenye siasa.
Hivi CCM haijiamini kufanya mikutano mpaka ituchukue na tusiohusika maana wengine hawamo hata kwenye siasa.