Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,004
- 31,808
Acha kazi njoo ujiajiri huku hakulazimishi mtu
Lengo ni kujaza uwanja kutafuta namna ya kuiba kuraNa sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na kubwa liliopo mjini ni mchosho unaosababishwa na wagombea wa CCM,ni lazima uhudhurie mikutano yao,eti usipohudhuria watakinukisha,natumai hata barua za ulazima huo mnaziona,wanafika mpaka kutaka tupeleke vitambulisho vya kupigia kura vya uraia,yaani ni shida kubwa.
Hivi CCM haijiamini kufanya mikutano mpaka ituchukue na tusiohusika maana wengine hawamo hata kwenye siasa.
Ww ndo zezeta kabisha, huoni kama shule zinafungwa kila aendapo mgombea urai pamoja wazili mkuu watumishi huambiwa kuhudhulia kampeni zao wakiwa na wanafunzi? Mbaya zaidi wanafunzi huambiwa kuvaa nguo za kiraia.Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Ushahidi huu hapa .Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
tatizo lako ni uelewa mfupi sana huna kina cha kutafakari,huko magereza na kwengineko vinaachwa vizee vinavyokaribia kustaafu ,tatizo unabishana huji kati ya ndoo na maji ipi nzito,unabaki ndo ya maji nzito,ili uelewe Lissu sio mzito Wananchi wanaomkubali ndio walio wengi.nyinyi mnashindana na lisu.Umeandika nini au umesapoti nini?
Tatizo mnasoma na kuandika pasipo kufikirisha akili zenu kwa mapana
Mmesema wafanyakazi mnalazimishwa kuhudhulia mikutano ya ccm kazi zinakwama sasa magereza na hospital nazo zimefungwa si zinawatumishi wa serikali ili waende kwenye mikutano?
Wewe ni mfanyakazi wa CCM ya Magufuli kweli?Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Si mnalalamika kila siku kuwa mnafungwa,mnajeruhiwa,n.k kwahiyo nyie ni wazee tena mlioko magerezani na mahospitalini?tatizo lako ni uelewa mfupi sana huna kina cha kutafakari,huko magereza na kwengineko vinaachwa vizee vinavyokaribia kustaafu ,tatizo unabishana huji kati ya ndoo na maji ipi nzito,unabaki ndo ya maji nzito,ili uelewe Lissu sio mzito Wananchi wanaomkubali ndio walio wengi.nyinyi mnashindana na lisu.
Na bado! Kuanzia tarehe 5, wataanza kuomba kura kwa kugalagala chini😲😲😲CCM kwisha habari yake!CCM haikuwahi kupiga magoti,hii ni dalili nzuri za kuelekea mwisho wakeView attachment 1585369
Hata wakifanya hivyo wasipewe kura. Hawana shukurani kabisa hao.Wameanza kwa kupiga magoti, wamekuna nazi, wameosha vyombo ya jikoni, sasa tunataka ccm wadeki vyoo vyetu la sivyo....
NANI AKULAZIMISHE WEWE UNATAKA KIKI HUMU JF KANZA WE ***** TUNa sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na kubwa liliopo mjini ni mchosho unaosababishwa na wagombea wa CCM,ni lazima uhudhurie mikutano yao,eti usipohudhuria watakinukisha,natumai hata barua za ulazima huo mnaziona,wanafika mpaka kutaka tupeleke vitambulisho vya kupigia kura vya uraia,yaani ni shida kubwa.
Hivi CCM haijiamini kufanya mikutano mpaka ituchukue na tusiohusika maana wengine hawamo hata kwenye siasa.
Wanacheza ngoma ya Lisu bila kutaka!Na bado! Kuanzia tarehe 5, wataanza kuomba kura kwa kugalagala chini[emoji44][emoji44][emoji44]