Itakuwa huna serikai wewe.upo upo tu.Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Kwanza lugha yake tu siyo ya mtumishi wa umma, BAVICHA hawajifichi!Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Acha kutetea uovu Mimi ni shuhuda maana mmoja wa familia yangu ni mjumbe wanapelekwa kila jiwe anapokuwa na mkutano kwa kulipiwa nauli na malazi nchi nzimaAcha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Wewe ni kula kulalaAcha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Inaonyesha hamuishi ulimwengu huu au niwaletee baruaKwanza lugha yake tu siyo ya mtumishi wa umma, BAVICHA hawajifichi!
Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Acha kuwa na fikira mgando mbuzi weee i amaana hospitalini pia wagonjwa wameachwa,magerezani wafungwa wameachwa,n.k acheni siasa za kuumba mambo mkitegemea ushindi hamna hiloWewe hujui chochote kuhusu hiz kampeni zinazoendelea na usumbufu unaosababishwa .na gharama.Kila sehemu mgombea Uraisi anakopita ni lazima shughulia zote za umma zisimame na wasemaji wakuu wanakuwa ni viongozi wakuu wa ccm wa mkoa na wilaya. Watumishi wa umma wamekuwa ni wanyonge mwanzo mwisho.
Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Kwanza lugha yake tu siyo ya mtumishi wa umma, BAVICHA hawajifichi!
Acha kuwa na fikira mgando mbuzi weee i amaana hospitalini pia wagonjwa wameachwa,magerezani wafungwa wameachwa,n.k acheni siasa za kuumba mambo mkitegemea ushindi hamna hilo
Acha kuwa na fikira mgando mbuzi weee i amaana hospitalini pia wagonjwa wameachwa,magerezani wafungwa wameachwa,n.k acheni siasa za kuumba mambo mkitegemea ushindi hamna hilo
Na sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na kubwa liliopo mjini ni mchosho unaosababishwa na wagombea wa CCM,ni lazima uhudhurie mikutano yao,eti usipohudhuria watakinukisha,natumai hata barua za ulazima huo mnaziona,wanafika mpaka kutaka tupeleke vitambulisho vya kupigia kura vya uraia,yaani ni shida kubwa.
Hivi CCM haijiamini kufanya mikutano mpaka ituchukue na tusiohusika maana wengine hawamo hata kwenye siasa.
Acha kudanganya watu hapa, mbona mimi ni mfanyakazi wa Serikali na hakuna utumbo kama huo ulioandika hapa. Mikutano ya Magufuli inajaa bila hata watu kualikwa. Usiibagaze Serikali hii kwa kutafuta sifa za kijinga.
Kwanza lugha yake tu siyo ya mtumishi wa umma, BAVICHA hawajifichi!
Acha kutetea uovu Mimi ni shuhuda maana mmoja wa familia yangu ni mjumbe wanapelekwa kila jiwe anapokuwa na mkutano kwa kulipiwa nauli na malazi nchi nzima
Nawahurumiaga sana watumishi walio chini ya TAMISEMI maana hao ndo wanyonge wa ccm na inawadhulumu na kuwanyanyasa sana.
Jambo la kufanya ni kuwa na sura ya Tikitiki maji tu ili wasitumbuliwe.
View attachment 1585325
Wewe hujui chochote kuhusu hiz kampeni zinazoendelea na usumbufu unaosababishwa .na gharama.Kila sehemu mgombea Uraisi anakopita ni lazima shughulia zote za umma zisimame na wasemaji wakuu wanakuwa ni viongozi wakuu wa ccm wa mkoa na wilaya. Watumishi wa umma wamekuwa ni wanyonge mwanzo mwisho.
Umeandika nini au umesapoti nini?Ngadu umenikumbusha kitu ,sasa mnataka kuchukua wafungwa wahudhirie mikutano yenu,nitafurahi siku ya pili magereza meupe na kura zao wanazipeleka kwa Lissu maana anaeipigia kura CCM anajitafutia shida mpya.
Si unawasikia CCM wanasema yajayo ni mapya yanakirihisha.