The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kichwa cha habari kiko wazi. Kama kweli dola ni mali ya wananchi, sisi wenye jeshi letu tupinge na kulipiga marufuku kushiriki au kushirikishwa kwenye siasa hi,I za majitaka.
Katiba yetu inapiga marufuku vyombo na taasisi, a umma na watumishi wake kutumika au kupeendelea katika kutimiza majukumu yake kwa umma. Vyombo vyote vya dola ni mali na watumishi wa wa umma na wa watawala. Naamini naeleweka. Je, wewe wasemaje?