Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

Ohhh, lwa hiyo akija ma nyama ya nguruwe msikitini sio issue
Hiyo ni issue lakini haya anayofanya hayafanyii msikitini na hayafanyi kwa kuwa eti ni Mwislamu ila anayafanya kwa tabia zake mwenyewe akiwa kama Manara.
 
Dogo/Sister fanya maisha yako. Unapata wapi muda huu wa kuhangaika na ya nwenzio? Unataka akudandie wewe? Watu kama ninyi ni hasara na mzigo kwa taifa
 
Usinipangie majukumu
Sasa mbona wewe unawapangia wenzio? Dogo utakuja olewa bila mahari. Achana na makasiriko ya maisha ya watu. Shauri yako kuna wenzio walianza hivi hivi walipokuja toka Mikoani huko. Sisi walume tukawaoa baadaye wamekuja shtuka mpaka leo wanachuki tu humu ndani.
 
Tumuache mlemavu wa ngozi afanye atakavyo inawezekana sio uislamu unaomtuma hivyo ila tatizo alonalo.let's mind our own business especially in this season of Christmas wakristo wote wa Africa tunasubili ibada ya waroma (Catholic) watuambie season mpya tuwatambuaje ni mashoga au kutakuwa na dhehebu Lao jipya kuanzia kesho Catholic Church of Afrika.Manara tumuache na Islamic wenzie watamalizana anao masheikh wanamsimamia ila wakatoliki na wakristo wengine ndio hatujui msimamo wa wanausimamia ukatoliki afrika
 
Ishi maisha yako acha kuwaza maisha ya wenzako kwani alienda kwa gharama zako? Alienda kwa ajili yako? Hao wanaoshikwa unawaonea wivu?

Kama huna Kazi nenda masjid makonde pale uuze mitishamba
Haha
 
Black people tupo tayari kufanya chochote kwa sababu ya pesa na umaarufu
 
Reactions: Tui
Punguza kufuatilia maisha ya watu...
Muacheni kijana wa watu aishi maisha yake...wewe ni nani umuhukumu na dini yako feki...
Upo sahihi nakuunga mkono ila minor correction, hapo kwenye kijana weka "mzee wa watu" 😃😃😃😃
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…