Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

Zungu hajielewi.
 
Mwache Manara afurahi
Hivi kwanini vitu vizuri ndo dhambi jamani?
Yani kula bebe kali ni dhambi
Kupiga [emoji482] dhambi
Kula kitimoto dhambi
Mziki dhambi
Mpira dhambi
Uislam ni mgumu hata me ningeshindwa
 
Mwache Manara afurahi
Hivi kwanini vitu vizuri ndo dhambi jamani?
Yani kula bebe kali ni dhambi
Kupiga [emoji482] dhambi
Kula kitimoto dhambi
Mziki dhambi
Mpira dhambi
Uislam ni mgumu hata me ningeshindwa
Eeehh
 
Huyu ni msanii tu, ukiwa unakaa na kumuabudu yeye basi imekula kwako na usikute hata huko Mecca hajaenda......kapiga tu picha akiwa uwanja wa ndege kudanganya watu kuwa kaenda Mecca kuacha kufilana na machangu wa mjini.
 
Mwache Manara afurahi
Hivi kwanini vitu vizuri ndo dhambi jamani?
Yani kula bebe kali ni dhambi
Kupiga [emoji482] dhambi
Kula kitimoto dhambi
Mziki dhambi
Mpira dhambi
Uislam ni mgumu hata me ningeshindwa
Hayo mengine ni upotofu tu wa imani, nani alihukumiwa kula kiti moto hapa duniani? Mkifuata mambo ya Muddy mtachanganikiwa kimaisha, yeye anasema kulala na mke wa mwenzio ni dhambi ila yeye alikuwa anafanya hivyo tena alioa mke wa mwanawe wa kambo, think of that. Pia akaja kuoa kitoto kidogo Aisha na kukipiga miti kikiwa na miaka 9 huku yeye Muddy akiwa na miaka 54, inakuja akilini kweli hii? Muddy alikuwa jangili wa imani kwa kweli, anacheza sana na hisia za watu na bado wanamuamini tu.
 
Kuna wizara inatwa:

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Msisahau huyo mtu huko kundi la Watu maalumu la walemavu.
Kuna watu jinsi umri unavyo ende ndivyo anavyokua mtoto
 
mecca ni sehemu ya utalii kama kwenda zanzibar ndo maana hakuna chochote cha tofauti alivyoenda na alivyorudi.Wachana na porojo za zamani za vijiweni kuhusu maka.
 
haji ni kafiri
 
Nyie waislamu huwaga washamba sana,acha kufuatilia maisha ya mtu, nenda macca nawewe uishi unavyotaka ndio mana wengiwenu maskini kwasababu ya chuki za udini mlizojazwa
 
Ishi maisha yako acha kuwaza maisha ya wenzako kwani alienda kwa gharama zako? Alienda kwa ajili yako? Hao wanaoshikwa unawaonea wivu?

Kama huna Kazi nenda masjid makonde pale uuze mitishamba
Kwan social media ni ya majini au watu???
Ebu usimtishe mtoa mada .... ukileta mtandaoni maisha yako means unataka udiskasiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…