Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

Jibu unalo huyo alikua makambako.
 
Reactions: Tui
Punguza kufuatilia maisha ya watu...
Muacheni kijana wa watu aishi maisha yake...wewe ni nani umuhukumu na dini yako feki...
Hivi manara ni kijana?si ni lizee kabisa lile
 
Reactions: Tui
Ishi maisha yako acha kuwaza maisha ya wenzako kwani alienda kwa gharama zako? Alienda kwa ajili yako? Hao wanaoshikwa unawaonea wivu?

Kama huna Kazi nenda masjid makonde pale uuze mitishamba
Watu kila siku wanaambiwa wapunguze ushauri kwenye maisha ya watu hawaelewi.....
 
Ishi maisha yako acha kuwaza maisha ya wenzako kwani alienda kwa gharama zako? Alienda kwa ajili yako? Hao wanaoshikwa unawaonea wivu?

Kama huna Kazi nenda masjid makonde pale uuze mitishamba
Umeumia sana.
Ujumbe wako umebeba nukta zote za maumivu makali🤣🤣🤣
 
Tena inawezekana alienda makambako mtaa wa kitisi au kwa MNANGE
 
manara kaingia dini ya watu wenye govi na kukubali ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…