Mimi kama Rais wa kijani nitasimamia reforms kwa miaka miwili ndipo tuingie kwenye uchaguzi mkuu 2027

Mimi kama Rais wa kijani nitasimamia reforms kwa miaka miwili ndipo tuingie kwenye uchaguzi mkuu 2027

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo,

Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!!

Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!!

Nitasimamia reforms Kwa miaka miwili Kwa kuitisha Bunge la katiba na tume huru ya uchaguzi ndipo October 2027 uchaguzi utafanyika!!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Kazi na utu tunasonga mbele!!!?

Tumeshavunja ilani ya uchaguzi kwa kukiuka haki ya kuabudu na kuishi!!

Ilani imetiwa unajisi turudi mezani!!
 
ccm mtashupaza shingo kwa tamaa za Madaraka ila mtakutana na hasira za Watanzania.....Oct 2025.

Ndipo mtajua No reforms no election....bado mnanafasi ya kurekebisha kabla haijachacha
 
Back
Top Bottom