Mimi kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria

Mkuu hapo kwa MUSTAPHA BOUCHINA siyo kweli kuhusu hizo rekodi ulizoweka. Pia ni beki huyo siyo mshambuliaji. Hana goli.
Tuwe washabiki wenye kuzungumza ukweli.
 
Mkuu hapo kwa MUSTAPHA BOUCHINA siyo kweli kuhusu hizo rekodi ulizoweka. Pia ni beki huyo siyo mshambuliaji. Hana goli.
Tuwe washabiki wenye kuzungumza ukweli.

Unataka kuniharibia sherehe yangu toka pepo toka مسوييويرينيينينطريريتبتطتينييتتتريتطترريتييبتبتبتبببتبتبتبتبتبتبتتبتبننتقتتيتيتبت
 
Yanga bingwa leo

Ova
 
Stupid wahed
 
Yanga bingwa leo

Ova

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamestahili ubingwa, halafu unakuta mtu anajitapa oh tumeshinda, sasa mnashindaje bila kombe!! Nini maana ya fainali mbili!! Hapo mshindi ni ALGER ambae ana magoli 2-1
 
USM ALGER TUNAZIDI KUWATWANGA TU KOMBE LA CAF CHAMPIONS LEAGUE TUNALIBEBA MSMU HUU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…