Leslie Mbena, Congrats classmate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana anataka ubunge huku hajui kazi za mbunge ni zipi
Nikiona neno CCM natamani kutapika.
kila la kheri, hao wafanyabiashara wa moro wenyewe bidhaa zao wanatoa kariakoo.
You have their vote.Hata mimi natangaza iia yangu ya kugombea urais wa wa Jamhururi ya Muungano wa Tanzania kupitia ama ACT au CHADEMA, yaani chama chochote kitakachonikubali bila hata kujali sera zake.
Nikishinda hata sijui nitafanya nini kwa sababu sina sera yoyote ila tu nachukizwa na serikali iliyopo madarakani. Sana sana nitapiga trip za nje nyingi kutafuta wafadahili kusudi watu wale bata.
Wewe unafaa kuwa Rais kweli kweli, cheki na DovutwaHata mimi natangaza iia yangu ya kugombea urais wa wa Jamhururi ya Muungano wa Tanzania kupitia ama ACT au CHADEMA, yaani chama chochote kitakachonikubali bila hata kujali sera zake.
Nikishinda hata sijui nitafanya nini kwa sababu sina sera yoyote ila tu nachukizwa na serikali iliyopo madarakani. Sana sana nitapiga trip za nje nyingi kutafuta wafadahili kusudi watu wale bata.
Nikiona neno CCM natamani kutapika.
Morogoro kuna changamoto nyingi zinazokwamisha mzunguko wa pesa na kipato cha mtu mmoja mmoja,ambazo ndizo zinadumaza mji kukua kwa kasi ile ya Mwaka 1970 enzi za akina Mbaraka Mwinshehe.1. Utatumia njia gani kuifanya hiyo morogoro kuwa kama Kariakoo?
2. Je utaweza kupageuza kuwa K/Koo kwa muda gani na kwa bajeti gani?
3. Morogoro mjini kuna changamoto kubwa ya maji, je umeweka mikakati gani kuondoa hilo tatizo?
4. Huduma za elimu na afya ni changamoto haswa magari ya kubeba wagonjwa na vituo vichache vya afya. Umejipanga vp kutatua hilo?
5. Barabara nyingi ni za vumbi una mkakati gani kuboresha?
6. Je una sera gani kuhusu mazingira yaliyoharibika ya Morogoro kama ukipewa dhamana ya kuwa mbunge?
7. Je mipango yako ya kuibadilisha Morogoro inaendana na sera ya uchaguzi ya Chama ya mwaka 2015-20 au umeitoa tu kichwani?
8. Morogoro ni mkoa ambayo ni Big 6 ya kulisha nchi kwa kupitia kilimo. Kwa nini unataka uibadilishe kuwa mji wa wachuuzi tofauti na mipango ya Serikali
9. Je unafahamu kazi za Mbunge ukiwa kama msomi wa Chuo Kikuu?
10. Je mipango unayopanga ina chanzo cha mapato ya kuiwezesha kuifanya na vyanzo hivyo ni vipi?
NAOMBA UYAJIBU HAYO MASWALI KUMI KWANZA
Ni Mbili Mkuu; Tatu ni Uzamivu (PHD)Hivi uzamili ndo digirii mbili au ni tatu?
Kuna watu watasema Abood anatoa mabasi ya kuzikia,Abood ametoa ambulance,Abood ana redio na tv lakini hii sio hoja,Leslie Oscar Mbena...hongera kwa uthubutu! Ukoo wenu Mbena Malumbi!?
Waluguru watataka kujua je utatoa mabasi kwenye misiba?
Kama siku zone umekuwa ukisaidia tawi lako la Kimara, hujawahi kusaidia Morogoro mjini watakufahamu vipi?
Mwenzako mwarabu anawapatia misaada SANA, huwa anagawa vya bure Morogoro mjini siyo Kimara.
Mfano
Janga la moto Msamvu, aligawa madawa..
CORONA, aligawa barakoa na akamwaga ndoo za maji na sabuni stendi..
Everyday is Saturday...😎