Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
- Thread starter
- #41
"House Nigger ukimwambia toka ujikomboe atakwambia hapa Mimi nalishwa na mzungu,napewa mkate na maziwa,nikitoka niende kujikomboa nani atanipa mkate na Maziwa!?" - Malcom xUnafahamu fika hutaweza kumuangusha kwenye kura za maoni huyo Aziz Abood kutokana na ushawishi wake hapo Moro. Unachokifanya ni kutaka tu uonekane ili Mzee wa kuteua akupe ulaji siku za usoni.
Tangu mlipoufahamu udhaifu wake, mnamtumia kweli kweli pasipo kujua hivyo vyeo mfano DED, DAS, RAS, nk ni mali ya Watumishi wa umma waliojitoa kufanya kazi kwa maslahi ya Nchi kwa miaka mingi, na siyo kwa ajili yenu nyinyi mlioshindwa kura za maoni kwenye chama chenu.