Mimi Mars: The Most Underrated Tanzanian Female Arstist

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Namtero si ndo Nancy? Yule alieolewa Kenya? Au yupi? Nafahamu sana kuwa Vee sio wa kwanza, ila nasema Mariane kapata umaarufu kupitia mama buttah.
 
Sisi vijana wa zamani tunacoment wapi
 
Sisi vijana wa zamani tunacoment wapi
 
Sisi vijana wa zamani tunacoment wapi
Mkuu mimi mpya kwa watu ili mimi wa zamani. Kila mara nawaambia vijana achana na hawa akina Cardi B, kulikuwa na mabinti wanachana kama Eve E, akina Foxy Brown, akina Da Brat, Miss Eliot, na wambia kulikuwa na kundi linaitwa Dru Hill, kulikuwa na Ruff Riders, na waambia Rkelly alikuwa anatoa hit kila uchwao.
Nawaeleza kuwa I lived in the time of Ashanti and Ja Rule ilikuwa perfect Combo hatari.
Nawambia hapa Tz kulikuwa na Gangwe Mob wanapiga pamba hatari wana Gangwe Gear, Nawaambia wimbo wa Machozi wa JayD ulibadili industry ya RnB, nawaambia kuwa kulikuwa na Mike T, alikuwa ana hit za hatari anaipeperusha Mj records sambamba na wagosi wa kaya. Nawakumbusha kuwa, kulikuwa na mmasai anaitwa mR Ebo alikuwa anatoa hit after hit.
Nawaambia kulikuwa na tuzo za Kora, channel O ilikuwa channel inatisha ya mziki, nawaeleza kwamba kulikuwa kuna mwadada anaitwa Aliyah alikuwa ni balaa lingine yule.
Sema if you live in the past the future will never find you.
 
Mbona yote hayo sio zamani?au mimi ndio sitaki kukubali uzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…