Mimi Mars: The Most Underrated Tanzanian Female Arstist

Mimi Mars: The Most Underrated Tanzanian Female Arstist

Uyu itakua zama za akina otis redding 😀😀😀
Atakuwa ajuza kabisa. Kuna mtu alisikia sijui wakati wimbo gani unatoka nilikuwa kidato cha pili akasema kumbe mkuu wewe mkubwa hivi, nikamwambia jf uwa unaweza tukanwa na kukosewa heshama hata na mwanao akidhani msela tu
 
Ukiniita ajuza una nikosea bro. Mbona nime kuuliza kistaarabu tu?
 
Tuache utani wakuu huyu Mimi Mars haimbwi sana midomoni mwa watu na yeye mwenyewe sijui anajichukuliaje but ngoma zake zote zina taste nzuri sana.

Naenjoy "La la la" aliyo mshirikisha Toto bad Marioo and what i can say,this song is a very very good, huyu dada anajua kutupa ngoma kali. Ngoma zake nyingine pia kali kinoma..She is my favourite.

Kwa ambao hamjamzingatia muongezeni kwenye playlist zenu na mumpe sikio.

Keep bringing good music Mimi.
Huyu msanii nyimbo zake huwa hazina feelings ukizisikiliza hivyo ajitahidi kuweka feelings kwenye tungo zake
 
Nyimbo zake za papara na sitamani nazipenda Sana.Huyu dada anajua kuimba si utani
 
No kweli hajui anafosifosi tu,anajaribu kutembelea nyota ya dada....kwanza Hana swagger za V....Ila kwa uzuri Aisee bonge moja ya pisi ya kwenda.
Kama havumi ina mana hajui , wala msilete mbwembwe , kama kujulikana anajulikana vzur tuuu , kilichopo ni uwezo mdogo , poor management , na sometime kuwa na magroup
 
Back
Top Bottom