Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Unakunyemelea, au unataka zamani ya akina kwanza Unit, boys2men, Madona?Mbona yote hayo sio zamani?au mimi ndio sitaki kukubali uzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakunyemelea, au unataka zamani ya akina kwanza Unit, boys2men, Madona?Mbona yote hayo sio zamani?au mimi ndio sitaki kukubali uzee
Uyu itakua zama za akina otis redding 😀😀😀Unakunyemelea, au unataka zamani ya akina kwanza Unit, boys2men, Madona?
Atakuwa ajuza kabisa. Kuna mtu alisikia sijui wakati wimbo gani unatoka nilikuwa kidato cha pili akasema kumbe mkuu wewe mkubwa hivi, nikamwambia jf uwa unaweza tukanwa na kukosewa heshama hata na mwanao akidhani msela tuUyu itakua zama za akina otis redding 😀😀😀
Ukiniita ajuza una nikosea bro. Mbona nime kuuliza kistaarabu tu?Atakuwa ajuza kabisa. Kuna mtu alisikia sijui wakati wimbo gani unatoka nilikuwa kidato cha pili akasema kumbe mkuu wewe mkubwa hivi, nikamwambia jf uwa unaweza tukanwa na kukosewa heshama hata na mwanao akidhani msela tu
Mkuu ni utani sorry kama nimekuoffend, sikuwa serious. Sorry sana sikuwa na lengo la kukuoffendUkiniita ajuza una nikosea bro. Mbona nime kuuliza kistaarabu tu?
CheersMkuu ni utani sorry kama nimekuoffend, sikuwa serious. Sorry sana sikuwa na lengo la kukuoffend
Huyu msanii nyimbo zake huwa hazina feelings ukizisikiliza hivyo ajitahidi kuweka feelings kwenye tungo zakeTuache utani wakuu huyu Mimi Mars haimbwi sana midomoni mwa watu na yeye mwenyewe sijui anajichukuliaje but ngoma zake zote zina taste nzuri sana.
Naenjoy "La la la" aliyo mshirikisha Toto bad Marioo and what i can say,this song is a very very good, huyu dada anajua kutupa ngoma kali. Ngoma zake nyingine pia kali kinoma..She is my favourite.
Kwa ambao hamjamzingatia muongezeni kwenye playlist zenu na mumpe sikio.
Keep bringing good music Mimi.
Kama havumi ina mana hajui , wala msilete mbwembwe , kama kujulikana anajulikana vzur tuuu , kilichopo ni uwezo mdogo , poor management , na sometime kuwa na magroup
Siku Frank akijua; hilo jua litakalomuwakia Maria mmmmmh