si ule unakiitikio
Anaimba demu
"Mimi nampenda msela
japokuwa hana ela msela"
ila dabby km ulichana hiyo mistari ulioandika
bila shaka wewe ni wa 80s age mate
kuna madogo wameniita mzee
yaani ilikuwa hivi kuna tools walikuwa wanatafuta kwangu dukani bei ikawashinda kila duka wanaloenda wanaambiwa nenda duka la MZIMU WA KOLELO ndo zipo
ndipo nikawasikia kwa mbali wanasema haaa dukani kwa yule mzee haaa yule mzee bei zake kali sana
ndio nikashtuka hivi nimeshakuwa mzee au hizi mvi za ukoo ndio zimewachanganya au kweli nishazeeka inamaana watu wa 80s tushaazeeka kweli au maisha tu yametuchapa