Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

Minakumbuka raia zilikua Zina chana sana hii kitu wanakwambia mahela sio mahela ni majani ya mpera
 
Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari.

Mimi msela siwezi kwenda jela
Na nikienda jela narudi na Mihela..


Naruka tikitaka kulia na kushoto
Na mademu wanitaka ....

Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
Kingwendu
 
Back
Top Bottom