Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Mkuu mimi mimeisoma biblia na qur'an. Tena sana...
Sipendi malumbano kwa kuwa najua udhaifu mkubwa kwenye baadhi ya maandiko. Hukohuko unakoamini!
Wewe umesoma biblia na umeona madhaifu.
Na wengine wamesoma quran ya kiarabu wameona madhaifu huko huko unakoamini.
Hakuna shida🤣🤣
 
Yeah, nakuunga mkono sana.. ndomaana ukichunguza vifo vingi vitokanavyo na vita ya Ukraine ni wanajeshi raia wachache sana.

Lkn Israel haijamaliza hata siku 40 washakuja raia zaidi ya elfu kumi na mbili.
Lakini pia hatujasikia askari wa Ukraine wanajificha mashuleni na mahospitalini.
 
Mwandishi anaongelea wayahudi wa asili, hawa waliopo Israel sasa hivi ni ashkenazi, hawana asili ya kiyahudi.

Ndiyo maana mpaka leo hawataki kabisa na ni marufuku kupimwa dna.
 
Pumba tupu na conspiracy theories
 
Mwandishi anaongelea wayahudi wa asili, hawa waliopo Israel sasa hivi ni ashkenazi, hawana asili ya kiyahudi.

Ndiyo maana mpaka leo hawataki kabisa na ni marufuku kupimwa dna.
Wale Wayahudi wa asili wako wapi sasa?
 
Hao Mayahudi waliuwawa na kundi la Hamas. Na wala siyo wale watoto na akina mama wasio na hatia yoyote ile wa Kipalestina.
Kwa hiyo makombora ya Hamas yanamacho yanachagua watu wazima tu tena wanaume! 😂😂
 
Hata hii simu unayotumia wametengeneza hao!
Kadhalika madini ya kutengeneza hizo simu yametoka kwetu,bila madini yetu wasingetengeneza hizo simu,hivyo tunategemeana kwa kila jambo
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Wanawaua I'll Hamas wajitokeze na kujidhalimisha[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umemaliza Kaka

Safarii hi Sina huruma nao kbsa walijuwa kbsa Wana watoto na wanawake alfu wanaenda kurusha mabomu Israel

Watapigwa Hadi anae zaliwa jioni
 
Correctly
 
Kadhalika madini ya kutengeneza hizo simu yametoka kwetu,bila madini yetu wasingetengeneza hizo simu,hivyo tunategemeana kwa kila jambo
Unadhani wao madini hawana?

Unafanyika na data unazopewa kuwa wewe ndo una madini mengi kuliko wao?

Nenda Urus, nenda Marekani, nenda China uone raslimali walizonazo! Wako juu mno, huku unanyanh'anywa hata KIDOGO ulichonacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…