Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Putin haui watoto na akina mama kwa mabomu. Yeye anashambulia maghala ya silaha zinazoletwa Ukraine kutoka kwa wauzaji wa hizo silaha.

Zaidi ya hapo wanapambana wenyewe kwa wenyewe. Ni aghalabu kuona wanawake na watoto wakiuwawa kikatili kama wafanyavyo hao Mayahudi.
Hizi ni propoganda kutoka vyombo vya propoganda vya Kirusi.
 
Hao watoto wanatakiwa kuwaondoa pale Hamas wanapoanzisha uchokozi dhidi ya Israel, ili jamaa wakianza kuwatandika, wasitumie kigezo cha kuua watoto, hao watoto simply wanauawa na ndugu zao wenyewe kwa uchokozi wao dhidi ya Israel.

Kuanzisha uchokozi halafu kwenda kujificha kwa watoto kama ngao dhidi ya mashambulizi, kunaonesha vile Hamas walivyo wajinga, wabinafsi, na makatili wasio na huruma hata kwa watu wao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
 
Kwa hiyo CNN ikisema wanajeshi wa Urusi walifanya mauaji baridi ya raia Bucha, Ukraine na pia wameua maelfu ya raia ni propoganda za magharibi ila CNN hao hao wakisema Israel imeua watoto gaza ni taarifa sahihi na sio propoganda?!
Akili za wapi hizi!
Wapi umesikia/umeona hiyo CNN ikiwaongelea watoto wa Kipalestina kuuwawa na hao Mayahudi?
 
Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Mbona Urusi inapora maeneo ya Ukraine na kuwageuza raia wa Ukraine mateka na wakimbizi kwenye nchi yao??
 
Mbona Urusi inapora maeneo ya Ukraine na kuwageuza raia wa Ukraine mateka na wakimbizi kwenye nchi yao??
Ni kwa sababu imeamua kuwapigania Wa ukraine wenye asili ya Urusi, na ambao kwa miaka nenda wamekuwa wakibaguliwa na kunyanyaswa kwa makusudi kabisa na baadhi ya watu wanaojiona ni Wa ukraine halisi.
 
Ni kwa sababu imeamua kuwapigania Wa ukraine wenye asili ya Urusi, na ambao kwa miaka nenda wamekuwa wakibaguliwa na kunyanyaswa kwa makusudi kabisa na baadhi ya watu wanaojiona ni Wa ukraine halisi.
Na Israel inawapigania, inawalinda na kuwatetea raia wake ambao wameteswa, wamebaguliwa na kufanyiwa holocaust na ugaidi kwa mamia ya miaka na binadamu wengine.
 
Yeah, nakuunga mkono sana.. ndomaana ukichunguza vifo vingi vitokanavyo na vita ya Ukraine ni wanajeshi raia wachache sana.

Lkn Israel haijamaliza hata siku 40 washakuja raia zaidi ya elfu kumi na mbili.

Adui akijificha kwa raia huku anakushambulia wewe utafanyaje?
Kama adui hajali watoto na wanawake wake wewe ndio utajali?
 
Waliotolewa na Musa Wako Wapi?
Kiongozi wao anaitwa nani?
Taifa lako kwa sasa ni lipi?
Au maoni yako nayo ni hadithi
Hawa ni wale waliorudi wakati wa watawala wa British Empire baada ya vita na Ottoman. Hawa walikimbia Ulaya kurudi baada ya waingireza kuchukua sehemu ya ardhi/koloni
 
Mkuu uko sahihi! Israel inapigania kuishi.Vile vile mimi sijawahi kusikia Israeli ikivamia Taifa jingine bila sababu. Siku zote Israeli imekuwa ikipigana kwa ajili ya kujilinda.
 
Adui akijificha kwa raia huku anakushambulia wewe utafanyaje?
Kama adui hajali watoto na wanawake wake wewe ndio utajali?
Ungetumia busara kidogo na kujiridhisha, angalia Wenye busara wanavyoandika
=====

Thanks for shining a light on how complicated the response to these particular terrorists is and how observers who are apt to support one side or the other should not rush to judgment.

But a BBC commentator provided a very interesting metric for judgment : if Hamas terrorists were hiding inside cities in Israel, would the IDF's method to eliminate them be similar to what it's doing in Gaza?

So, yes, they would probably allow supplies in without worrying that Hamas could use them, but would they obliterate a third of the city's buildings?

I can only imagine how Israelis might feel after the horrific Oct 7 attacks, and the gut-wrenching fear of the families for their loved ones held hostage, but I fear the IDF is not only killing innocents but creating a new crop of terrorists with their tactics.
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Kwani yale masquad yaliyotumwa tarehe 7/10 yangetua peacefully bila kuzuiliwa na iron domes yangechagua wa kuua? Je yalielekezwa kambi za jeshi au ikulu?

Huwa najaribu kuvaa viatu vya mazayuni naona kabisa jaribio la 7/10 lilikuwa na nia ya kuwafuta mazayuni na nchi yao kwenye uso wa dunia.

Kwa hali hiyo ni ngumu kumrudisha nyuma mbogo aliyejeruhiwa. Dunia itazungumza tu kama formalities lakini wakuu wa dunia wanaelewa hofu ya mazayuni in the future. Kwa sababu hujui nini atakifanya tena huyo adui yako miaka 5 ijayo wakati unapodhani kuna utulivu.

Naona ugumu uliopo katika kuwarudisha mazayuni nyuma.

Wameamua iwe mvua iwe jua, wafe au wapone ila mission yao hadi ikamilike.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Na hii hesabu ni Kwa miaka miwili pamoja na mashambulizi makubwa sana tunayoyaona pale, lkn Israel siku 30 washakuja zaidi ya raia 12 elfu.

Your comment plz
Lakini kumbuka na wao kwa siku moja wangetekea wote bila msaada wa iron domes.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom