Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Adui akijificha kwa raia huku anakushambulia wewe utafanyaje?
Kama adui hajali watoto na wanawake wake wewe ndio utajali?
Hata kutoa onyo kwa raia waondoke ni kuonyesha kujali pia. Raia hata kama wanawapenda askari wao linapokuja suala la vita ni habari nyingine. Tafuta pa kuokoa nafsi yako.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Hamas ndio wameyataka yatokee yanayowakuta hao wapalestina hivi sasa.

Wapalestina wameondolewa wapi ikiwa wapo ndani ya utawala waliowakabidhi Hamas?

Ukikubali kuongozwa na chizi lazima utavuna ulichopanda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwani yale masquad yaliyotumwa tarehe 7/10 yangetua peacefully bila kuzuiliwa na iron domes yangechagua wa kuua? Je yalielekezwa kambi za jeshi au ikulu?

Huwa najaribu kuvaa viatu vya mazayuni naona kabisa jaribio la 7/10 lilikuwa na nia ya kuwafuta mazayuni na nchi yao kwenye uso wa dunia.

Kwa hali hiyo ni ngumu kumrudisha nyuma mbogo aliyejeruhiwa. Dunia itazungumza tu kama formalities lakini wakuu wa dunia wanaelewa hofu ya mazayuni in the future. Kwa sababu hujui nini atakifanya tena huyo adui yako miaka 5 ijayo wakati unapodhani kuna utulivu.

Naona ugumu uliopo katika kuwarudisha mazayuni nyuma.

Wameamua iwe mvua iwe jua, wafe au wapone ila mission yao hadi ikamilike.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Exactly.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu unasoma mpaka unajiuliza ujinga wa mwandishi.

Swala la Israel na waarabu, ni ideological war; hakuna tofauti kubwa sana ya Rwanda kati ya Hutu na Tutsi.

21% ya Jews ni waarabu; bado kuna millions ya Jews wanaoishi Iran, Morocco pekee ( ina karibu 1 million Arab Jews) jumlisha Middle East yote ina Jews communities (ambao ni waarabu).

Kuna Arabs Jews wengi ambao awajaenda Israel wakienda waarabu kundi zima la Middle East hapo Israel si ajabu Arab Jews ndio wakawa majority in Israel.

Maana yake nini huo sio mgogoro wa race, ni mgogoro wa itikadi deep down, na jitihada za western supremacy ya kuchukua hilo eneo kuwapa white Jews power.

Jews na Muslim wanamgogoro wao zaidi ya miaka 2000, pamoja na hayo bila ya wazungu waliweza kuheshimiana na kuishi pamoja ndani ya Middle East kwa miaka yote Mpaka Hitler na maeneo mengine ya Europe walipoanza kuwafanyia fujo white Jews na kusababisha warudi Israel tena kwa kuomba ‘Ottoman Empire’ iwapokee (watch ‘Lawrence of Arabia’ the movie).

Moreover mater of fact Arab is the widely spoken language in Israel; japo wanajirabu kupotosha kusema ni Hebrew.

Hamas tactics zao ni ovyo (mengine wanajitakia); Ila behind this mess there’s a white man.

Hiyo ni vita inayosukumwa na ideology kuliko race, na mkakati wa mzungu kwenye ku dominate dunia.

Ni liafrika lijinga sana kama MK254 hili jamaa ni la hovyo na jinga kweli linawoza shabikia haya mambo ya mabeberu yaani zinga moja la fala sijapata kuona, if it was up to me ningelipa ban JF.
 
Mwarabu uliyetafiti tofauti na tafiti nyingine.
Wengi wanawaangalia Wapalestina lakini wewe umethubutu kuongea kwa upande wa Waisraeli.
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Umesahau Hamas walivyochinja wale watoto wa Kiyahudi? Bora kupigwa bomu kuliko kuchinjwa. Hamas ni waovu kuliko Wayahudi.
 
Kidini Jewish na Islam zinafanana sana kuliko Christianity.

Kwa sababu asili yake ni culture ya Middle East.

Jews anakula nyama iliyochinjwa na muislamu (halal); machinjio yao wameajili wa Islam. Na waislamu wanakula na nyama inayochinjwa na Jews (kosher).

Wote wanaoa mabinamu (tells you this is culture, rather than religion).

Kutoka kwa Adam and Eve kwenda kwa Noah, watoto ni wale wale. Tofauti zao ni ndogo sana kushinda Christianity.

Shida ni mzungu, kwenye upotoshaji; he is good on propaganda na wakiristo ambao wengi hawajui hata hiyo biblia imepatikana vipi na kuna version ngapi.

Ukiijua vizuri biblia ilivyoandika toka mwanzo hadi toleo la mwisho; na unyama wa kukipata hiko kitabu.

Salalee kama una akili zako timamu utajiuliza inakuwaje hawa watu walikuwa makatili hivi, usifanye mchezo kwenye kueneza biblia; ukiijua vizuri historia yake. Unaweza achana na ukristo.

Kila mtu aamini anachodhani ni sahihi.
 
Kuna vitu unasoma mpaka unajiuliza ujinga wa mwandishi.

Swala la Israel na waarabu, ni ideological war; hakuna tofauti kubwa sana ya Rwanda kati ya Hutu na Tutsi.

21% ya Jews ni waarabu; bado kuna millions ya Jews wanaoishi Iran, Morocco pekee ( ina karibu 1 million Arab Jews) jumlisha Middle East yote ina Jews communities (ambao ni waarabu).

Kuna Arabs Jews wengi ambao awajaenda Israel wakienda waarabu kundi zima la Middle East hapo Israel si ajabu Arab Jews ndio wakawa majority in Israel.

Maana yake nini huo sio mgogoro wa race, ni mgogoro wa itikadi deep down, na jitihada za western supremacy ya kuchukua hilo eneo kuwapa white Jews power.

Jews na Muslim wanamgogoro wao zaidi ya miaka 2000, pamoja na hayo bila ya wazungu waliweza kuheshimiana na kuishi pamoja ndani ya Middle East kwa miaka yote Mpaka Hitler na maeneo mengine ya Europe walipoanza kuwafanyia fujo white Jews na kusababisha warudi Israel tena kwa kuomba ‘Ottoman Empire’ iwapokee (watch ‘Lawrence of Arabia’ the movie).

Moreover mater of fact Arab is the widely spoken language in Israel; japo wanajirabu kupotosha kusema ni Hebrew.

Hamas tactics zao ni ovyo (mengine wanajitakia); Ila behind this mess there’s a white man.

Hiyo ni vita inayosukumwa na ideology kuliko race, na mkakati wa mzungu kwenye ku dominate dunia.

Ni liafrika lijinga sana kama MK254 hili jamaa ni la hovyo na jinga kweli linawoza shabikia haya mambo ya mabeberu yaani zinga moja la fala sijapata kuona, if it was up to me ningelipa ban JF.

Unateseka kuandika andika ilhali kwenye maandiko yenu ndiko chuki ilipo, huko mumeagizwa kuua Wayahudi wote na kila mkijaribu huwa mnauawa sana maana Mungu wao ana nguvu kuzidi wa wa kwenu...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Wayahudi na Waislamu wako mbali sana,
Wayahudi hawali ngamia na sungura,
Wayahudi wanamtambua Yakobo kama mtoto wa Ahadi wa Ibrahim wakati Waislamu wanamtambua Ishmael,
Wayahudi mpaka leo hawaamini Yesu ameshakuja,
Wayahudi wanatoza riba
Kidini Jewish na Islam zinafanana sana kuliko Christianity.

Kwa sababu asili yake ni culture ya Middle East.

Jews anakula nyama iliyochinjwa na muislamu (halal); machinjio yao wameajili wa Islam. Na waislamu wanakula na nyama inayochinjwa na Jews (kosher).

Wote wanao mabinamu (tells you this culture, rather than religion).

Kutoka kwa Adam and Eve kwenda kwa Noah, watoto ni wale wale. Tofauti zao ni ndogo sana kushinda Christianity.

Shida ni mzungu, kwenye upotoshaji; he is good on propaganda na wakiristo ambao wengi hawajui hata hiyo biblia imepatikana vipi na kuna version ngapi.

Ukiijua vizuri biblia ilivyoandika toka mwanzo hadi toleo la mwisho; na unyama wa kukipata hiko kitabu.

Salalee kama una akili zako timamu utajiuliza inakuwaje hawa watu walikuwa makatili hivi, usifanye mchezo kwenye kueneza biblia; ukiijua vizuri historia yake. Unaweza achana na ukristo.

Kila mtu aamini anachodhani ni sahihi.
 
Unateseka kuandika andika ilhali kwenye maandiko yenu ndiko chuki ilipo, huko mumeagizwa kuua Wayahudi wote na kila mkijaribu huwa mnauawa sana maana Mungu wao ana nguvu kuzidi wa wa kwenu...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Wewe ni pumba hujui hata msingi wa hivyo vitabu.

Hujui hata similarities za Jews na Islam.

Unaufahamu hata wa tofauti ya Kosher na Halal

Hujui hata mitume ya Jews na Islam

Unaufahamu hata wa asilimia ngapi ya Middle East ni Jews

Una ufahamu wa culture ya Jews na waarabu zinafanana kiasi gani.

Jews na Islam ni more close, kushinda Christianity.
 
Ungetumia busara kidogo na kujiridhisha, angalia Wenye busara wanavyoandika
=====

Thanks for shining a light on how complicated the response to these particular terrorists is and how observers who are apt to support one side or the other should not rush to judgment.

But a BBC commentator provided a very interesting metric for judgment : if Hamas terrorists were hiding inside cities in Israel, would the IDF's method to eliminate them be similar to what it's doing in Gaza?

So, yes, they would probably allow supplies in without worrying that Hamas could use them, but would they obliterate a third of the city's buildings?

I can only imagine how Israelis might feel after the horrific Oct 7 attacks, and the gut-wrenching fear of the families for their loved ones held hostage, but I fear the IDF is not only killing innocents but creating a new crop of terrorists with their tactics.

Kwenye vita hakuna busara wala Hekima.
Ukishasema vita vimeanzishwa ujue hakuna busara na hekima tena. Labda hujui maana ya hekima na busara.

Hayo maoni ya busara na hekima unayoyasema hayana maana yoyote linapokuja suala la vita. Kwa sababu Vita ni kinyume na Hekima na busara.

Hata hizo sheria za vita ni sehemu ya unafiki tuu. Vita havina sheria. Vita yoyote ni kinyume na sheria na Haki.
 
Wayahudi na Waislamu wako mbali sana,
Wayahudi hawali ngamia na sungura,
Wayahudi wanamtambua Yakobo kama mtoto wa Ahadi wa Ibrahim wakati Waislamu wanamtambua Ishmael,
Wayahudi mpaka leo hawaamini Yesu ameshakuja,
Wayahudi wanatoza riba
Akili zako sio nzuri Yakob ni Yakubu kwa waislamu na wote ni zao la mzazi mmoja (ndio maana wote ni sawa kuoa cousins). It’s a Middle Eastern culture issue more than religion.

Jews na waislamu wote awali mnyama asie piga chafya; na ndio maana Jewish anaweza kula nyama iliyochinjwa na muislamu tu lakini aendi bucha ya mkristo.

Taratibu za Jews na Islam zinafanana sana kushinda Christianity.

Wengi wenu hamuelewi what Jewish religion is about. It’s close to Islam kuliko Christianity.
 
Unateseka kuandika andika ilhali kwenye maandiko yenu ndiko chuki ilipo, huko mumeagizwa kuua Wayahudi wote na kila mkijaribu huwa mnauawa sana maana Mungu wao ana nguvu kuzidi wa wa kwenu...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Kumbe hii Vita iliongelewa na Mtume ..!
Sasa wanalaumu nini wakati kila kilicho tamkwa na Mtume lazima kifanyike.
Na aliruhusu kuuwana wenyewe kwa wenyewe hadi mawe yaongee.

Na bado Mawe hayaja anza kuongea.
 
Miaka mingi iliyopita, nilijifunza Kiebrania kutokana na udadisi na kwa nia ya kupenya katika ulimwengu ambao hapo awali nilidhani ulikuwa mbaya na kupanga njama dhidi ya Waarabu na Waislamu. Mara tu nilipoingia, nilishangaa jinsi nilivyokuwa nimekosea, jinsi karibu kila Mwarabu na Mwislamu karibu nami alikuwa na makosa. Israeli hawakuwa kwenye misheni ya kutuua sisi sote, hawakufanya njama dhidi yetu. Israeli walitaka kuishi, Israeli ina hamu ya kuishi pamoja kwa amani. Katika Mashariki ya Kati, ni sisi, Waarabu, ambao tuna hamu ya kuishi pamoja kwa amani, hata kama hiyo ina maana tutakufa.

Siku hizi, mimi hutazama mitandao yote ya Kiebrania na ile ya Kiarabu. Waisraeli wanateseka sana juu ya 1,200 kati yao ambao Hamas waliwaua kwa damu baridi mnamo 10/7. Walionusurika wanapambana na uchungu na Ugonjwa wa Mkazo wa Baada ya Kuumizwa. Israeli yote inaishi kwa wasiwasi juu ya hatima ya mateka 240 wa Hamas waliowachukua siku ambayo Waisraeli sasa wanaiita Jumamosi Nyeusi.

Katika vyombo vya habari vya Israeli, naona machozi mengi kwa wahasiriwa wa Oktoba 7, ambayo sasa yamechanganyika na vilio kwa wanajeshi walioanguka wakipigana huko Gaza. Jambo kuhusu maumivu haya yote ya Israeli ni kwamba ni karibu tu katika Kiebrania. Ulimwengu hauoni Waisraeli wakiumia au kuwasikia wakilia. Ulimwengu unaona ni ndege za kivita za Israel zinazonyeshea kifo Hamas kutoka futi 15,000 kutoka ardhini ili kuwaadhibu waliowaua Waisraeli na kuwaachilia mateka.

Ulimwengu hausikii maumivu ya Israeli. Inaona tu na kusikia maumivu ya Wapalestina. Ulimwengu unapenda kuegemea upande wa mtu wa chini, hata wakati mtu wa chini ana hatia. Bila shaka, hawaoni hivyo. Waislamu bilioni moja wana sauti kubwa zaidi kuliko Wayahudi milioni 16, na kufanya iwe vigumu kusikia ukweli, rahisi kusema uwongo. Kwa hiyo ulimwengu unailaumu Israel, hata pale Wapalestina walipoanzisha mauaji kama Hamas walivyofanya tarehe 10/7.

Wayahudi walielewa zamani sana kwamba ulimwengu sio mahali pa haki. Haki ya kimataifa inayumba na haitegemewi. Hii ndiyo sababu hasa Wayahudi walitoka nje ya njia yao kuunda mamlaka ya Kiyahudi, kuanzisha taifa la taifa na serikali ambayo inaweza kuwalinda Wayahudi popote kwenye sayari, wakati wowote. Hata kama Wayahudi wameunganishwa kihistoria, kitamaduni, na kihisia na ardhi hii ya kibiblia, Uzayuni haujawahi kuwa tu kuhusu ardhi; Wazayuni wa mwanzo walikuwa tayari kujenga dola yao huru mahali pengine, ingawa walifikiri kwamba hakuna doa ambalo lingeweza kuvutia wahamiaji wengi wa Kiyahudi kama nchi ya Israeli.

Wayahudi wengi walikufa ili kupata enzi kuu hiyo ya Israeli, na wanaendelea kufa kwa ajili yake—hata sasa. Mauaji ya 10/7 ya Hamas yalitishia uwepo wa Israeli, na Waisraeli sasa wanapigana vita vya maisha yao - Vita vya pili vya Uhuru, kama wanavyoviita.

Lakini kile ambacho Waisraeli wanafikiri na kusema kinasalia zaidi katika Israeli, mbali na vyombo vya habari vya kimataifa. Ni Waarabu na Waislamu ndio walioweka simulizi ya kimataifa, ambao mara kwa mara wamegeuza vita vya Mayahudi kwa ajili ya mamlaka kuwa vita juu ya mali isiyohamishika: Tuliishi katika ardhi hii maelfu ya miaka kabla yao, kwa hiyo sisi ni watawala wake halali. Lakini ni nani walioishi katika ardhi hii kabla ya ujio wa Waarabu? Kwa kweli, katika nchi nyingi tunazoziita Waarabu leo, Wayahudi waliishi na kuzungumza Kiebrania, kisha Kiaramu, kisha Kiarabu, muda mrefu kabla Uislamu haujakuwepo.

pekee ya vita ni amani. Hata hivyo mtu angekuwa mgumu kuona ishara moja ya amani katika maelfu ya maandamano dhidi ya vita duniani kote. Amani itakuja tu wakati ulimwengu wa Kiarabu utakapoitambua Israel, lakini waandamanaji hawapigi kelele za kutaka amani; wanapiga kelele dhidi ya Israeli, wakitumai kwamba usitishaji vita unaweza kuokoa Hamas.

Laiti ningekuwa na fimbo ya uchawi niwafanye Waarabu wenzangu na walimwengu wengine waone ninachokiona. Kamwe hakutakuwa na amani bila haki. Kutumia idadi yetu kama Waislamu na Waarabu kulazimisha simulizi yetu haitawashinda Israeli na sio njia ya amani.

Ninaandika haya ili kutoa maoni yangu. Nataka amani, na amani inategemea kupata imani ya wale tunaotaka kuishi nao kwa amani, si kuuchochea ulimwengu dhidi yao. Amani inahitaji kukiri ukweli. Inahitaji kukubali maumivu ya Kiyahudi.

Hussain Abdul-Hussain ni mtafiti mwenzake katika Wakfu wa Ulinzi wa Demokrasia (FDD), taasisi ya utafiti yenye makao yake makuu mjini Washington, DC, isiyoegemea upande wowote inayozingatia usalama wa taifa na sera za kigeni. Fuata Hussain kwenye X @hahussain .

Imetafsiriwa na Google Translator

Chanzo: I'm Arab and I Don't Understand Why the World Can't Acknowledge Jewish Pain
Uhuu ndiyo UKWELI MTUPU AMBAO HAWA WAARABU/WAISLAM KOKO WA TANZANIA HAWATAKI KUUTAFUTA WAUJUE
NIMEONA KWENYE. TWITTER KUMBE HUYU KIONGOZI WA HAMAS KULE GAZA YAHYA SINWAR ALIKUWA NA SERIOUS BRAIN CANCER AMBAPO ALITIBIWA ISRAEL KWA GHARAMA ZA ISRAEL.

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1725972781165068776?s=20

PIA KILE WALICHOKUWA WANADAI WAARABU KUWA 1948 WALIFUKUZWA ISRAEL NI UONGO. ILE ILIKUWA NI NJAMA YA MATAIFA YA KIARABU YALIYOVAMIA ISRAEL 15 May 1948. ILI WAWAUWE WAISRAEL WOTE WALIWAAMBIA WAARABU WENZAO TOKENI TUKIISHA MALIZA KAZI MTARUDI
ONA MAHAMOUD ABBASI ANAKIRI KWENYE HII VIDEO

View: https://x.com/correctedmedia/status/1656795582713798656?s=20
Hii notice ya April 1948 ambapo waisrael walikuwa wanawasihi Waarabu wasiondoke; lakini wengi wao wakakataa na kuondoka maana walijiamisha kuwa waarabu wenzao watashinda vita
IMG_2473.jpeg
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Hapo waovu na wanaostahili kulaumiwa ni MAGAIDI ya Hamas.

Kwani hao magaidi walipovamia Israel 7/10, waliua na kuteka askari pekee?

Yaani uuwe na kuteka watu wasio na hatia halafu ukimbilie kujificha katikati ya watoto na wanawake ili usipigwe, uachwe tu siku nyingine urudi kuua tena?! Hiyo ni akili au ujuha?

Hizi dini zinawapofusha sana!!!
 
Kwenye vita hakuna busara wala Hekima.
Ukishasema vita vimeanzishwa ujue hakuna busara na hekima tena. Labda hujui maana ya hekima na busara.

Hayo maoni ya busara na hekima unayoyasema hayana maana yoyote linapokuja suala la vita. Kwa sababu Vita ni kinyume na Hekima na busara.

Hata hizo sheria za vita ni sehemu ya unafiki tuu. Vita havina sheria. Vita yoyote ni kinyume na sheria na Haki.
Sasa kwa nini unamlaumu Hamas kwa kuwaua waIsraeli? Vita hii ilianza miaka 75 iliyopita
 
Back
Top Bottom